Mamilioni wahangaika na ukame China

Zaidi ya watu milioni 4 wanahangaika na ukame nchini China.

Mamilioni wahangaika na ukame China

Zaidi ya watu milioni 4 wanahangaika na ukame nchini China.

Katika eneo la Gansu,watu takriban laki sita an nusu wanapaat shida ya kupaat maji ya kunywa huku zaidi ya hekta elfu tatu za mazao yanakauka.

Utabiri wa hali ya hewa umeonyesha kuwa ukame huo utaendelea kwa muda.

 


Tagi: ukame , China

Habari Zinazohusiana