"Watalii hawapashwi kulazimishwa kuvaa hijabu Iran"

Mhafidhina mmoja nchini Iran anaejulikana kwa jina la Muhsin Geruyan amezungumza kuhusu watalii nchini humo na sheria za kujifunika kichwa.

"Watalii hawapashwi kulazimishwa kuvaa hijabu Iran"

Mhafidhina mmoja nchini Iran anaejulikana kwa jina la Muhsin Geruyan amezungumza kuhusu watalii nchini humo na sheria za kujifunika kichwa.

Akizungumza katika moja ya gazeti la biashara nchini humo,Geruyan amesisitiza kuwa dini hailazimishi watalii kuvaa hijabu.

"Watalii wenyewe wakitaka kuvaa hijabu watavaa,lakini hawapashwi kulazimishwa",alisema Gerunay.

Aliendelea kwa kusema kuwa,"Kama vile sisi tunavyofuata sheria zetu tunapokuwa katika nchi nyingine basi watalii nao wanapshwa kufuata sheria zao wakiwa Iran."

Tagi: Iran , watalii , hijabu

Habari Zinazohusiana