Mji wa Daara na utawala wa Syria

Kutoka katika kitengo cha  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatuletea tathmini yake

Mji wa Daara na utawala wa Syria

Jeshi la Syria linaendelea skushambulia  Kusini mwa  Syria kwa ushirikiano na Urusi na Iran. Mji wa Daara wamejipata katika mashambulizi kutoka kwa wanjeshi wa Assad.  Wakati ambapo kunashuhudiwa ongezeko la mashambulizi dhidi ya kile ambacho serikali ya Assad inafahamisha kuwa  ni kukabilana na ugaidi, mji wa Daara  ni mji mabao una wapinzani wengi wa utawala wa Assad nchini Syria.  Katika mji huo ndiko kulpoibuka  maandamano ya kwanza ya kupinga utawala wa Assad nchini Syria. Baadhi ya wakaazi wa eneo hilo walikimbilia katika eneo la mpakani mwa Jordan ina Syria. Katika eneo hilo kumeshuhudiwa  madhila yaliowakumba wakimbizi waliokimbilia katika eneo hilo.  Jordani ilifunga mipaka yake ni kuzuia baadhi ya wakimbizi wasiweze kuingia katika ardhi yake.  Kutokana na kushindwa kwa upinzani  kushirikiana na utawala wa Assad. Mazungumzo  ya amnai yalisimamiwa na Urusi  bila ya kupatia  jawabu mgogoro huo nchini Syria. Miji kadhaa  ilimilikiwa na jeshi la Assad  bila ya mapügano. Vile kuna hali ya mgogoro ambayo imejitokeza Kusini Syria katika mpaka wake na Israel na mvutano baina ya Israel na Iran. Uwepo wa wapiganaji ambao wanaungwa mkono na  Iran katika mpaka wa Israel hali hiyo inazidisha  hali ya vuta bi kuvute  baina ya mataifa hayo mawili.

Kutoka katika kitengo cha  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatuletea tathmini yake.

Mwezi Juni, taarifa zizlitolewa kuwa serikali ya Assad  na jeshi lake lililkuwa katika mataarisho ya kutaka kuanza kushambulia Daara.  Katika eneo hilo katka kipindi cha makabliano makubwa nchini Syria , katika eneo hilo hukukutokea  mapigano baina uya upinzani na jeshi la Syria kwa muda mrefu.

Urusi ilisimamia makubaliano kuhusu kusitishwa kwa mapigamo katika eneo hilo kama ilivyokuw akatika maeneo mengine nchini humo.

 Wakati mashambulizi ya jeshi la Syria yalipoanza , taarifa zizlifahamisha kuwa upinzani ulikuwa ukilindiwa usalama na Marekani  huku ikifahamishwa kuwa malengo yake yalikuwa kisiasa. Licha ya makubaliano    na viongozi kadhaa na wanadiplomasia kuhusu Syrian a eneo hilo, balozi wa Marekani  nchini Jordani alisema kuwa Marekni ilikuwa ikijihami na Urusi na  jeshi la Assad.   Jeshi la Assad lililendesha mashambulizi ya anga Daara  licha ya kuwa ilitangazwa katika mkaubaliano kuwa eneo hilo pia limeorodheshwa miongoni mwa maeneo ambayo  kumesainiwa kusitishwa kwa mapigano. Baadhi ya  kambi  kama kambi ya moja ya Urusi ilifungwa.

 Kwa muda mrefu eneo hilo lililuwa likipigiwa mfano kwa amani iliyokuwa ikidumu.  Wakaazi  katika eneo hilo walikuwa  wakiishi katika majumba yao.   Kutokana na mashambulizi yalioanzishwa na jeshi la Assad na Urusi pamoja na Iran, wakaazi wake wamelazimika kundoka na kwenda eneo ambalo waliona kuwa kuna amani  kwa malengo ya kupata hifadhi.  Watu zaidi ya 270 walilazimika kuhama makaazi yao wakihofia maisha yao.  Umoja wa Mataifa  umefahamisha kuwa raia zaidi ya 40 000 kutoka Syria walifika katika eneo la mpakani mwa Syria na   na Jordani.

Watu hao walikuwa wakijaribu kuvuka mpaka ili kuwa maeneo salama  katika ardhi ya  Jordani.

 Jordani imeonekana kuanzisha mfumo wa kuzuia na kupokea wakimbizi kwa mchujo  kutoka nchini Syria. Baada ya kuwapokea wakimbizi zaidi ya 650 000 kutoka Syria , Jordani imebadilisha mfumo wake wa kuwapokea wakimbizi.  

Baada ya Jordani kupokea wakimbizi zaidi ya 650 000 kutoka Syria , taifa hilo limechıukuwa uamuzi wa kufanga mipaka yake na kufahamşsha kuwa haitopokea tena wakimbizi kutoka nchini Syria.  Licha ya kuwa inatoa misaada ya kiutu kwa wakimbizi hao, wakimbizi wanakabiliwa na  na hatari kubwa  kutokana na  jeshi la Assad kuzidi kupiga hatua katika eneo la Daara. Kufuati  hali hiyo Umoja wa Mtaifa umetolea wito Jordani kufunguwa mipaka yake na kuwapokea wakimbizi.

Makabiliano hayo kati ya Urusi, Iran na Assad dhidi ya upinzani Daara yanaendelea.  Makundi kadhaa ya upinzani  katika eneo la Lajat nchini Syria  yamekubaliana na serikali ya Syria kusitisha mapigano chini ya usimamizi wa Urusi katika mazungumzo.  Wapinzani Dael, Bosra al Sham na Ibta  wameweka silaha chini  na kuacha mamlaka kwa  serikali ya Syria Daara.

Mashambulizi ya jeshi la Urusi yamezidi katika eneo hilo dhidi ya wapinzani na maada kutoka Marekani  kusitishwa , upinzani umepoteza nguvu zake dhidi ya jeshi la Assad.

Israel nayo imeanza harakati zake kusini mwa Syria.

Tunafahamu kabla ya  mashambulizi, Israel na Urusi  ziliafikiana kuwa  Iran  na wapiganaji wake  hawatoshiriki  katika operesheni.  Hali halisi inaoesha kuwa wapiganaji hao  wameshiriki katika operesheni hizo.  Israel imeshambulia  maeneo ambayo kunaonekana kwa mujibu wake kuwa kunapatikana  wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran.

Kutoka katika kitengo cha  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatuletea tathmini yake.Habari Zinazohusiana