Watu watano wapoteza maisha katika mashambulizi mawili Idlib

Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha huku wenginwe wakiwa wamejeruhiwa katika mashambulizi mawili yaliyofuatana Idlib nchini Syria.

Watu watano wapoteza maisha katika mashambulizi mawili Idlib

Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha huku wenginwe wakiwa wamejeruhiwa katika mashambulizi mawili yaliyofuatana Idlib nchini Syria.

Kwa mujibu wa habari,kwanza gari lililipuka lifuatiwa na kulipuka kwa pikipiki katika eneo moja Idlib.

Watu zaidi ya thelathini wameripotiwa kujeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo.

Hakuna kundi lolote lililotanagza kuhusika na mashambulizi hayo.Habari Zinazohusiana