Watu wasiojiweza : Wakimbizi

wakimbiziKutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit  kitengo cha siasa , mtaarishaji   wetu Daktari  Kudret  BÜLBÜL…

Watu wasiojiweza :  Wakimbizi

Juni 20 ni siku ya kimataifa ya  kuadhimisha siku kuu ya wakimbizi.

Ulimwenguni tunapoishi tunatakiwa kusihai kw aushirikiano na kuisha kama binadamu  ila kuna wakati hujitokeza binadamu hushindwa  kuishi  kwa usalama jambo ambalo hupelekea mizozo na migogoro. Pia huwa kuna wakati hujitokeza  hali isiyoridhisha , tunaweza kuzungumzia suala la wakaimbizi.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit  kitengo cha siasa , mtaarishaji   wetu Daktari  Kudret  BÜLBÜL…

Ulimwenguni kote kwa sasa kunakadiriwa kuwa na wakimbizi kati ya milioni 65 hadi 70 ya wakimbizi.  WAakimbizi wanapatika katika mataifa m tofauti ulimwenguni. Milioni 400  miongoni mwao hawana makaazi.

Idadi kubwa ya wakimbizi ni idadi isiopingika kwa kuwa inaonekana kila kukicha. Idadi ya wakimbizi inaendelea kuongnezeka  kote ulmwenguni. Tunatakiwa kuwa  kitu kimoja katika harakati za kutoa msaada kwa wakimbizi.

Suala  la wakimbizi  ni suala ambalo linagusa nyoyo za mwatu wengi.  Madhila ya nayowakumba wakimbizi, hali ngumu , machozi,  maafa, udhalimu, dhulma, kulazimika kuondoka katka makaazi na maddhila mengine mengi ni mambo ambayo yanasumbua nafsi za binadamu  kwa kuona binadamu wanavyotaabika.

Mara kadhaa tunapozungumzia kuhusu wakimbizi huwa watoto, wanawake na  wazee huwa wakipewa kipaumbele. Watu hoa hupewa  umuhimu na kipaumbele katika kutaarishiwa mazingira mazuri yanayomstahili binadamu. Kina anaekumbwa na madhili ya uhamiaji ni  jambo ambalo lnatakiwa kushuhulisha ulimwengu. Tangu miaka ilpita hadi leo bado tunashuhudia  hali hiyo ya uhamiaji kutokana na sababu tofauti.

Wazazi wakiwa pamoja na familia zoa wakiwemo watoto wadogo wanalazimika kuondoka katika mkaazi yao kwa aajili ya nusuru maisha ya na vizazi vyao. Historia imeonesha mara  kadhaa madhara ya vita na maisha magumu uhamishoni.

Watu huo hufikia kuanza safari  hatari ambazo huwa zikendeshwa bila ya kujali ni kipi kinaweza kutokea. Uhamish katika historia ya binadamu ni jambo lenye uchungu.

Mataifa  ambayo raia wake wengi ni wakimbizi yanatambulikwa kuwa Syria, Afghanistani, Sudani Kusini na Somalia. Mwaka 2010 wakati  kulianza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe  idadi ya wakimbizi iliaongezeka .

Kwa wle ambao  hawafahamu maana ya kuwa wakimbizi basi wafanya kila wawezalo kuzuia hali hiyo kuweza kutokea katika mataifa yoa.   Ulimwengu umejawa na mifano hai kuhusu wakimbizi na madhila yanayowasibu. Ukimbizi sio jambo zuri bali ni jambo ambalo linaweza kuzuiliwa kwa  kuweka mbele mazungumzo na maelewano.

Tukitazama kwa makini tunaona kuwa  mataifa ambayo yanakumbwa na  jjanga la mapigano na kusababaisha wakimbizi au raia wake kukimbia makaaazi yao ni mkono wa mataifa ya Magharibi.  Maeneo ambayo yanakumbwa na mapigano ni maeneo ambayo yapo kimkakati.  Mataifa yenye nguvu ulimwwnenguni yameoneakana kutojali madhila ya wakimbizi kutokana na maslahi yao.

Kwa uhakika moja mongoni  mwa sababu zinazopelekea wakmbizi ulimwengun ni mizozo na migogoro ambayo vyanzo vyake vinaweza kuepukikak. Sababu nyingine na hali ya kutokuelewana , uongozi usiofaa ambao umejawa na dhulma na kutawaliwa na rushwa, tofauti katika mitazamo.

Watu hulazimika kuondoka katika mkaazi yao  kwa sababu toauti kama  rushwa , mizozo ya kisiasa, matatizo ya kuchumi na hali ya kimaskini, uhaba wa chakula, ukame na sababu nyingine tofauti.

Tukizungumzia sula la wakambizi na wahamiaji   wanaolazimika kuhama makaazi yao kufuatia mabadiliko ya hali ya hewa, suala hilo  linajadiliwa  kwa namna nyingine.

Ili kupatia sulahu suala la wahamiaji kunatakiwa ushirikiano na kuwa na malengo ya ushirikiano kuhusu suala hilo.  Ila kwa wakati tunaweza kupatia suluhu kunako suala hilo kwa kujitolea bila ya kujali ni nani aneestahili kupewa msaada.

Barani Afrika katika mataifa kadhaa , hasa vijijini kuna watu wanakabiliwa na ukosefu wa maji jambo  hilo linapelekea wakaazi katika vijiji hivyo kuelekea mijini.

Juhudi muhimu katika kukabiliana  na suala hilo ili kuhakisha kuwa  kunapatiwa ufumbuzi.   Kama ilivyokuwa wakati ambapo siafu zilipeleka maji kuzima moto uliokuwa umeandaliwa kuchoma Ibrahim.

Licha ya kuwa kitendo hicho kujitolewa  hakina  muonekna mkubwa bali ni moja ya jitihada za kusaidia na kunusuru baadi ya watu wataoa nufaika na  msaada huo japokuwa ni  unaonekana kuwa mchache. Licha ya kuwa  kila nyota inayotupwa ndani ya maji hujipata katika maisha ardhini katika ufukwe. Utajiri wa binadamu sio mali anazomiliki au cheo anachomiliki bali utu alionao kwa watu.

Tutaishi kutazama madhila yanayowasibu wahaiaji na ya kuyajadili?  Tutatakuwa kando na madhila yanayowakumbwa wahamiaji na wakimbizi? kwa hakika hapana.  Tutaendelea kukemea  kwa sauti uongozi  ambao haukuwa ukitola matumaini kwa  kuhusu wakati ujao. Tunatakiwa.

Tunatakiwa kuonesha maelengo tulionayo kuhusu suala hilo na  upepari  kuukemea kutokana na uundaji wake wa  kimkakati wa kujşkusanyia faida  kupitia madhila ya wahamiaji ulimwenguni.

Tunatakiwa kupongeza kila taifa mablo linajitolea msatari wa kwanza kusaini wahamiaji kimataifa na kuweka utu mbele bila ya kuweka mbele maslahi kama  yafanyavyo baadhi ya mataifa.  Mzigo  uliopo Uturuki kuhusu wakimbizi kutoka Syria, kama ğlivyo nchini Lebanon na Jorndani ni mkubwa na mataifa hayo sio mataifa  yenye utajiri mkubwa ulimwenguni.

 Wahamiajina wakimbizi walipewa  hifadhi na kupokelewa katika miji tofauti Uturuki kama Kilis idadi yake imezidi kuongezeka na kushindi wakimbizi wanaopewa hifadhi Magharibi.  Kuna watoto zaidi ya 300 000 wanaozaliwa nchini Uturuki tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Watoto hao hawahusiki  na mzozo uliopo nchini humo uliodumu kwa sasa zaidi ya miaka mitano.

 Kwa upande mwingine watendaji wa kimataifa wanahusika na hali inayoendelea nchini Syria.  Malengo yao yanaonekana kuwa  katika suala zima la jeshi, na kugharamia  jeshi kwa kuwa malengo yao  yapo kjeshi na kimaslahi zaidi nchini Syria.   Malengo ni kujikusanyia kipato kwa kuuza silaha na maslahi mengine ambayo yanajitokeza.

Jumuiya ya kimataifa inatakiwa kushinikiza watendaji  hao  kulipa gharama ambazo zimesababishwa na mgogo huo nchini Syria.  Jambo hilo linaungwa mkono   kibinadamu, mitazamo ya kidini na maagizo yake katika jamii. 

Kuna umuhimu mkubwa  kushirikiana ili kuhakikisha kuwa  sulhu inapatikana. Suala hilo ni wajibu wa jamii kwa mashirika kuingilia kati na kushawishi  ufanisi wake.  Mashirika ambayo yanajitolewa kutoa msaada kwa wahamiaji na wakimbizi yanonekana kuwa ya kikanda na sio kimartaifa.

Mashirika hayo uyasiokuwa ya  kiserikali yanalenga ushirikiano wa kimataifa na kutoa mafunzo ulimwenguni kuhusu saula zima hilo kuhusu wahamiaji na wakimbizi.

Mashirika hayo yanatakiwa kutoa ripoti  kimataifa  kwa lengo la kufanyiwa tathmini  ripoti iliotolewa.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit  kitengo cha siasa , mtaarishaji   wetu Daktari  Kudret  BÜLBÜLHabari Zinazohusiana