Usalama waimarishwa katika shule moja mjini Berlin nchini Ujerumani

Usalama waimarishwa katika shule moja mjini Berlin nchini Ujerumani

Usalama waimarishwa katika shule moja mjini Berlin nchini Ujerumani

Usalama waimarishwa  katika shule moa mjini Berlin nchini Ujerumani baada ya kuonekana  kwa hali isiokuwa ya kawaida na kutia shaka.

Taarifa zimefahamisha kuwa  huenda kuna watu ambao  wametekwa nyara katika shule hiyo ya msingi.

Barabara zinazoendelekea katika shule hiyo  zimefungwa na jeshi la Polisi.

 Habari Zinazohusiana