Korea Kaskazini yafanya jaribio jingine la nyuklia

Korea Kaskazini imeripotiwa kufanya jaribio la urushaji kombora kwa mara ya sita sasa.

800325
Korea Kaskazini yafanya jaribio jingine la nyuklia

Korea Kaskazini imeripotiwa kufanya jaribio la urushaji kombora kwa mara ya sita sasa.

Kwa mujibu wa habari,jeshi la Seoul limeripoti kutokea kwa tetemeko la ardhilenye ukubwa wa 5.6 katika eneo hilohilo la Punggye-ri jaribio la nyuklia lilipofanyika.

Majaribo mawili ya nyuklia yalifanywa Korea Kaskazini mnamo mwaka jana.

Korea Kaskazini inaendelea kufanya majaribio ya makombora licha ya kuwa Umoja wa Mataifa umeidhibiti kufanya hivyo.

 Habari Zinazohusiana