Rais Erdogan kuzindua kituo cha utamaduni Marekani

Rais Erdogan kuzindua kituo cha utamaduni wa kiislamu katika jimbo la Maryland Marekani

458696
Rais Erdogan kuzindua kituo cha utamaduni Marekani

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan atashiriki katika uzinduzi wa jumba la utamaduni wa kiislamu katika jimbo la Maryland nchini Marekani.

Kituo hicho ni matunda ya ushirikiano katika ya wizara ya masuala ya kidini ya Diyanet na uongozi wa wizara hiyo kitengo cha masuala ya mambo ya nje.

Kituo hicho ambacho ni cha kwanza kusimamiwa na Uturuki kitazinduliwa ifikapo Aprili 2 na rais wa Uturuki.

Kituo hicho kinapatikana Lanham kitafunguliwa raismi bain aya Machi 29 na Aprili 2.

Katika engo hilo kutakuepo mskiti, eneo la maonesho ya utamaduni wa kiislam na utamaduni wa lituruki bila ya kuweka kando eneo la kupokea wageni kwa ajili ya mikutano.

Mskiti katika jumba hilo ni mskiti pekee ambao umejengwa kwa mtindo wa Ottoman karne ya 16 na ambao unaminara miwili pekee nchini Marekani.

Zaidi ya watu 1 2000 wataweza kupokelewa katika engo hilo.Habari Zinazohusiana