Angela Merkel, shujaa wa wakimbizi kutoka Syria

Angela Merkel, shujaa wa wakimbizi kutoka Syria na kuingia Ulaya

342793
Angela Merkel, shujaa wa wakimbizi kutoka Syria

Baada ya kupinga uamuzi wa kuwarejesha wakimbizi kutoka Syria na kuingia barani Ulaya, Angela Merkel ameonekana shujaa na muokozi kwa wakimbizi kutoka Syria.

Baadhi ya taarifa katika mitandao zinafahamisha kuwa huenda Merkel aliagiza mashua kadhaa nchini Uturuki ili kuwasafirisha wakimbizi.

Agosti 25 Angela Merkel alitangaza rasmi kuwa Ujerumani haito wafukuza wakimbizi kutoka Syria kama ulivyokuwa umeashiria mkataba wa Dublin.

Uamuzi huo ulichukuliwa kutokana na vita vinavyoendelea kwa muda miaka mitano nchini Syria.

Soma pia: Abdullah Kurdi akataa ombi la Canada


Tagi:

Habari Zinazohusiana