TRTVOTWORLD

 

TRTVOTWORLD.COM

 

TRTVOTWORLD.COM ni tovuti  inayopeperusha habari  chini ya uongozi wa kitengo  kinachohusika na na upashaji habari  za kimataifa katika kituo cha televisheni na redia Uturuki. Tovuti hiyo inapeperusha habari kwa lugha 41 na kuzungumzia  mitazamo ya Uturuki katika masula tofauti ya kitaifa na yale ya kimataifa.

TRTVOTWORLD.COM  katika kutoa habari katika masafa mafupi na kutumia teknolojia ya kisasa tovuti pia ni katika  kukuza  taalumu ya upashaji habari katika nyanja ya kimataifa.    Tovuti hiyo inatoa fursa  ya kupata habari papo hapo kupitia mtandao. Habari za kikanda, utamaduni,  uchumi,  sayansi na teknolojia. Vile vile  habari kuhusu Uturuki,  uchunguzi wa kina hufanywa katika kuthibitisha habari katika eneo la husiika kijiografia. Shukrani kwa  uchunguzi unoaendela katika matukio muhimu nchini Uturuki na kote ulimwenguni. Matukio na taarifa kutoka huku na kule  hupeperushwa  katika tovuti baada ya uchunguzi.

TRTVOTWORLD.COM  ni moja miongoni mwa tovuti  muhimu ulimwneguni zinazotoa habari sahihi kutoka Uturuki na ulimwenguni  bila ya upendeleo.