TRT Redio

Redio

Tupo karibu nanyi,  aendeleo ya sayansi na teknolojia yapiga hodi nchini…  hali inatofautiana nchini.  Hali ilikuwa tofauti katika tasnia ya redio. Mei 6 mwaka 1927 Uturuki ilianza kama mataifa mengine  na kituo cha redio. Mei 1 mwaka 1964 kituo cha redio cha TRT kilipiga  hatua. Leo  kituo cha redio cha TRT kina vitengo vitano kwa ajili ya Uturuki, vituo vitano vya kiknda, vitatu na vitano vya kimataifa. Vituo hivyo  ni kwa ajili ya habari, kutoa mafunzo katika jamii, utamaduni na burudani ya muziki na lengo lake  kufikia jamii nzima.

TRT RADYO 1

TRT RADYO 1  elimu, utamaduni, habari… maigizo, michezo, mazingira, uchumi, makala maalumu… kile ambacho ni muhimu katika jamii.  Habari zisizokuwa na upendeleo,  habari kwa haraka… katika pande zote za Uturuki, vile sauti ya Uturuki inasikika katika  kupitia mtandao ulimwengu mzima… hanbari  za uhakika kupitia satalaiti nam mtandoa ulimwenguni kote.  Kuanzia mwaka 1927 hadi kufikia sasa. Redio yenu inasikika kote…

TRT FM

TRT FM rafiki na ama ana njiaa kuelekea katika msafara… taarifa za uhakika zinapeperushwa moja kwa moja , orodha ya vibwagizo vinavyopendeza…Uturuki nzima kuğpitia satatalaiti na mtandao ulimwenguni kote…

TRT RADYO 3

TRT RADYO 3 Kutokea kwa Elvis Presley kuelekea kwa Joan  Joan Baez, kutoka kwa Frank Sinatra kwenda kwa Tchaikowsky, kutoka kwa Mozart kwenda kwa Sara Vaughan. Uturuki kote kupitia mtandao na satalaiti ulimwenguni…

TRT NAĞME

TRT NAĞME kituo cha TRT hicho ni kwa ajili ya kuhifadhi  kanda mpya kwa aili ya wakati ujao. Vile vile kanda huifadhiwa  kwa ajili ya   kizazi kijacho. Hapo ni maktaba inayohifadhi muziki, vitabu vya muziki na usanii wa Uturuki… Kote Uturuki inasikika kupitia satalaiti na  mtandao ulimwenguni kote.

TRT TÜRKÜ

TRT TÜRKÜ misemo, fikra na imani, kulalamika na kutokata tamaa… mashahiri ya kitamaduni yenye mpangilio, jamii ya watu walioshawishi… urithi unaotolewa kutoka kwa mfugaji kwa mfugo wake… kote Uturuki inasikikta kupitia satalaiti na mtandoa kote ulimwenguni…

TRT MEMLEKETİM FM

TRT MEMLEKETİM FM ​ wakati wa hisia katika maisha,  safari na uhamiaji, mafaanikio katika harakati tofauti, thamani ya taifa letu, tunafanana na wengine wote ulimwenguni. Vile vile na muziki unao burudisha…

Muziki na nyimbo kwa ajili ya vijana, TRT taifa langu FM… kituo kinasikika  kupitia mtandao, satalaiti kila siku kuanzia saa tatu kamili hadi jioni saa kumi nam bili…

Iwapo mnataraji kusikia wimbo unaoupenda na unao kufuruhisha na kutaka kuwafurahisha wengine TRT Memleketim FM ipo kwa ajili yako…

TRT TSR

TRT TSR kituo hicho  kinapeperusha masaa 24 kwa 24 kwa raia wa Uturuki waliopo nje na ndani ya Uturuki. Masuala tofauti yajadiliwa . Matukio ya kimataifa hujadiliwa. Kama ilivyo kama ada yake , kituo hicho ni kwa aajili ya kuonesha picha nzuri ya Uturuki nas asa TRT TSR inapeperusha kwa lugha 34 kote ulimwenguni.

TRT ANTALYA

TRT ANTALYA RADYOSU kuanzia  mwaka 1962 hadi sasa… rangi ya Mediterania, muziki wa mediterania, utamaduni na miko yake….kwa wiki kuanzia zaa nne hadi saa sita mchana , mwisho wa juma saa nne hadi saa sit ana nusu kituo hicho  kinasikika katika eneo la Mediterania. Kupitia  kituo hicho kinapeperushwa kupitia TRT Türk Uturuki na ulimmwenguni kote…

TRT ÇUKUROVA

TRT ÇUKUROVA RADYOSU tangu mwka 1968 hadi sasa…harufu ya manokato ya Taurus, maadili kataika mitaa… kila Jumapili kuanzia saa nne hadi saa sita mchana, mwisho wa wiki kuanzia saa nne hadi saa sit ana nusu huchapishwa katika eneo la Çukurova. Inapeperushwa kupitia TRT Türk Uturuki na ulimwenguni kote…

TRT RADYO GAP

TRT GAP DİYARBAKIR RADYOSU kuanzia mwaka 1964 hadi sasa… utamaduni wa Kusini-Mashariki na utamaduni wa Anatolia, sauti murua… kwa wiki kuanzia saa nne hadi saa sita, Jumapili na Jumamosi saa nne hadi saa sit ana nusu. İnatumia muda wa saa moja katika kituo cha TRT Türk hadi saa tisa mchana Uturuki na ulimwenguni kote…

TRT TRABZON

TRT TRABZON RADYOSU kuanzia mwaka 1968 hadi leo… na rutba yake na ukijani kibichi, misimu yake, vipindi kuhusu eneo la bahari Nyeusi kuanzia saa nne asubuhi hadi saa sita mchana. Eneo la Bahari Nyeusi  kuanzia saa nane kwa muda wa saa moja  kşnapeperushwa katika kituoa cha TRT Tütk Uturuki na kote ulimwenguni.

TRT ERZURUM

TRT ERZURUM RADYOSU kuanzia mwaka 1960 hadi leo … pamoja na waturuki, utamaduni Anadolu ya Kati katikati ya wiki kuanzia saa nne haidi saa sita mchana mwishoni mwa wiki kaunzia  saa nne hadi saa sita na nusu. Muda wa saa moja  kuanzia saa kumi na moja. Taarifa zinapeperushwa  TRT Türk  Uturuki na kote ulimwenguni…

KENT RADYO ANKARA

TRT KENT RADYO ANKARA  yote kuhusu jiji la Ankara…  ili kufahamu yanayojiri jijini Ankara, pata habari zote hapo… TRT Kent Radio Ankara FM inapatika katika frikwensi 105,6.

KENT RADYO İSTANBUL

TRT KENT RADYO İSTANBUL  Yote kuhusu jiji la Istanbul… kwa ajili ya habari za mjini Istanbul… TRT Kent Radyo FM inasikika mjini Istanbul katika frekwensi  106.6.

KENT RADYO İZMİR

TRT KENT RADYO İZMİR  Yote kuhusu jiji la İzmir… kwa ajili ya  habari na kulitambua jiji la İzmir… TRT Kent Radyo İzmir inasikika katika frikwenzi FM 99.1

Radyo 6

TRT RADYO KURDΠkituo cha redio hiki kinavutia wasikilizaji wa kila rika kwa lengo la kudumisha umoja wa Uturuki. Kituo hicho kilianza kusikika Mei 1 mwaka 2009. Kituo  kinatoa fursa katika eneo la Kusini-Mashariki mwa Anatolia. Kituo hicho  kimetoa athari nzuri katika eneo hilo.

TRT RADYO HABER

TRT RADYO HABER Utabiri wa hali ya hewa, mpangalio, yaliojiri, msafara na programu ya usafiri, utamaduni kutoka katika pande zote za Uturuki…habari za kusisimua nam akala maalumu vinapeperushwa katika kituo hicho. Habari zisikuwa na upendeleo.