TRT Historia

 

Shirika la Redio la Uturuki na Televisheni (TRT) lilianzishwa tarehe 1 Mei mwaka 1964 kwa lengo la kutangaza  matangazo ya redio na televisheni kwa niaba ya serikali, na utu wa uhuru wa kisheria na sheria maalum. Kwa marekebisho ya kikatiba mwaka 1972, taasisi hiyo ilifafanuliwa kama biashara "inayotokana na serikali".

 

Mwaka wa 1984, Sheria ya Redio na Televisheni ya Uturuki ilirekebishwa upya kulingana na masharti ya Katiba ya 1982.  Tangu 1986 kuwepo kwa vyombo vyingi kupitia satellite Uturuki,  umeipa TRT changa moto za kushindana na wengine hadi 1990.

Pamoja na marekebisho wa msuada  nambari 133 wa Katiba ya mwaka 1993, uhuru wa TRT ulirejeshwa, wakati huo huo uhuru redio na televisheni binafsi ziliendelea kurusha matangazo yao.  Leo TRT hutumikia kama mtangazaji wa huduma za umma ambazo zinatangaza kupitia redio na televisheni.

Kabla ya kuundwa TRT, matangazo yalikuwa yakirushwa na shirika la Türk Telsiz Telefon A.Ş. Baada ya kiytuo cha redio cha İstanbul kilichoanzishwa mwaka 26 Mei 1927, redio ya Ankara ilianza na yenyewwe matangazo mwaka 1936. Vituo vyote hivyo viwili viliwekwa mikononi mwa PTT tarehe 8 Septemba 1936.  Redio ya Ankara ilipewa umuhimu na kuzinduliwa rasmi tarehe 28 Oktoba 1938. Kituo cha Istanbul kilichokuwa kimesitisha kwa mda matangazo yake kilirejea tena mnamo Novemba 1949.

Wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia, vituo vingi viliundwa.  Redio ya İzmir ilianza kazi mwaka 1950 na ilikuwa ikirusha matangazo kwenye manispaa ya İzmir.

Mnamo mwaka 1960, vituo 8 vya redio kwenye manispaa vilizinduliwa. Kulingana na katiba ya 1961, ambayo inasema kuwa vituo vya habari lazima viwe binafsi lakini vitanagze matangazo yanohimiza uzalishaji kiuchumi, mswada huu ulipelekea vitu vingi kuanzishwa. Trt iliendelea na yenyewe na matangazo yake kulingana na sheria namba 359 ya mwaka 1964, japo kuwa kulikuwa uzinduzi wa vitu binafsi.

Mwaka 1974, TRT 1, TRT 2, na TRT 3 zilizinduliwa na kuanza kushirikiana kwenye matanagzo yao, wakirusha habari kutoka kituo kikuu cha TRT.

 

Matangazo ya televisheni yalianza 31 Januari mwaka 1968 na hotuba ya uzinduzi ya  Mahmut Tali Öngören kwenye studio na maktaba  za Mithatpaşa  mjini Ankara, na ikawa hatua ya kwanza ya matangazo ya televisheni nchini Uturuki.  Matangazo yalikuwa yakirushwa masaa 3 kwa siku 3 kwa wiki , ikaongezwa mpaka siku 4 kwa wiki baada ya mwaka mmoja. Mwaka 1970, televisheni ya İzmir ilianzishwa, na mwaka 1971 televisheni ya İstanbul ikaanzishwa.

 

Mwaka 1969 wanasayansi walipoanza kujielekeza kwenye mwezi, mtangazi Zeki Müren alipiptisha tukio hilo kupitia TV. Mwaka 1973 mazishi ya Ismet Inonu, rais wa pili wa Uturuki walitangazwa moja kwa moja. Operesheni za kulinda amani visiwani Cyprus zilitangazwa kuipitia TRT. Uturuki ilishirika mashindano ya Euro vision ya muziki kwa mara ya kwanza mwaka 1975 kupitia TRT.  Kwa mara ya kwanza filamu ya zilirekodiwa kupitia TRT mwaka 1979.

Mtangazo ya TV yalikuwa yakirushwa kila siku kuanzia mwaka 1974 na watu takriban milioni 19 walikuwa wakifuata matangazo hao.  Matangazo ya Tv ya rangi yalianza kurushwa tarehe 31 Deccemba 1984.

 

Mwaka 1986, kituo cha pili cha Tv kilianzishwa kwa jina TRT-2. Vipindi vya TRT 1 na TRT 2 viliweza kufikia kila eneo la Uturuki kupitia satalaiti ambayo ilikodishwa kutoka elsntat. TRT 3 na GAP  TV zilianzishwa mwwaka 1989. Mwaka 1990, matangazo ya TRT INT kwa wafanyakazi wa kituruki wanaoishi Ulaya yalianzisha na TRT4 . Kituo cha TRT AVRASYA kilikuwa kikirusha vipinda vya watu wa Caucase na Asia ya kati mwaka 1993.

 

Mwaka 1998, vipindi vya kwanza kutoka nje kama Ujerumani vilianzishwa. Vipindi kama Turkménistan-Achgabat mwaka  1999 vilirushwa, Misri, Ubelgiji mwaka 2000. Kituo cha TRT cha 6 nje ya Utruuki kilianzishwa Marekani, hata Uzbekistan mwaka 2004.

TRT_SAYTEK (Digital Broadcasting Technology Center) iliundwa mwaka 1990 pamoja na tovuti yake ya www.trt.net.tr.

Mwaka 2003 ni mwaka usiosahaulika kwa shirika la TRT na Utruki kwa ujumla , Trt iliweza kujinyakulia tuzo la 48 la Eurovision kupitia wimbo wa Sertap ERENER.

Trt ilianza kutumia na kurusha matangazo kwa lugha tofauti kwenye vipindi kuhusu watoto tarehe 01.01.2009.

 

Www.trtvotworld.com amabyo ilikuwa haina uwezo wa kiufundi na fedha , tarehe 20.11.2008 iliweza kujipatia nafasi ya 5 miongoni mw vituo 31 vinavyorusha habari za hali ya hewa na mazingira. Leo kituo hicho ni muhimu katika kanda sababu hutangaza matangazo yasioegamia upande wowote ule.

 

Kuanzia Balkan mpa Asia, nchi 27 , na watu karibu milioni 27 watanzisha kituo kimoja kitakachoksanya habari kutoka Uturuki, Azerbaijan, Kazakistan,Kirgizistan,Turkmenistan, na Mashariki ya kati.

Trt ilianzisha kituo cha habari za kimataifa na utamaduni tarehe 08.05.2009 cha Anatolia. kİtuo hicho hurusha mwezi wa Ramadhani matangazo ya dini kuanzia mawak 2012.  Tarehe  16 Novemba 2009, Trt ilianza kurusha kipindi cha muziki wa Uturuki na ule wa kimataifa.

 

Mko tayari kutoa ushuhuda ? TRT ilianza kurusha makala maalumu  tarehe 17 Oktoba mwaka 2009 kwa lugha ya kifaransa, kiingereza,kirusi  na kituruki.

Mwaka 2009, redio 6, TRT Nağme, redio ya manispaa ya Ankara, TRT ya kituruki  na redio ya TRT Europe kupitia masafa marefu vilianza kurusha matangazo.

 

Trt ilisaini mkataba wa kwanza na kituo cha Ulaya cha EuroNews. Kituo hicho cha EuroNews kilianza kurusha matangazo kwa lugha ya kituruki kufuatia mkataba huo tarehe 9 Januari mwaka 2010.

  

Kituo cha TRT HD, hutangaza matangazo ya sport na michezo, ikiwemo filamu na kadhalika.

 

TRT Sport, ilianza kurusha matangazo August mwaka 2010 na hutangaza kila habari kuhusu michezo yote ikiwemo ile ya kitaifa na kimataifa.

Trt ilianzisha shule ya TRT Januari 2010 ambalo lina teknolojia ya kisasa na vipindi vya mafunzo ya utamaduni na unadishi wa habari na matangfazo.

 

Leo TRT ina vituo 14 vya TV vya kitaifa na kikanda , ikiwemo vituo 3 vya kimataifa na vituo 3 vya redio.  TRT hutangaza katika lugha 41 kupitia www.trtvotworld.com ikiwemo trt ya watoto, ambayo hufuata uturuki na karibu dunia nzima