Shambulizi la kigaidi Ivory Coast

3 wafariki, 4 wajeruhiwa kwenye shambulizi la kigaidi lililotokea mpakani mwa Ivory Coast na Burkina Faso

1657206
Shambulizi la kigaidi Ivory Coast

Wanajeshi 3 wameripotiwa kuuawa kwenye shambulizi la kigaidi lililotokea katika mpaka wa Ivory Coast na Burkina Faso.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wafanyikazi wa Usalama, iliripotiwa kuwa gari la jeshi lililokuwa likishika doria katika eneo la Tehini-Togolokaye, lilishambuliwa kwa kilipuzi kilichokuwa kimetegwa hapo awali.

Katika shambulizi hilo, wanajeshi 3 walipoteza maisha na wanajeshi wengine 4 walijeruhiwa.Habari Zinazohusiana