Shambulizi la Boko Haram Nigeria

Watu 8 wamepoteza maisha katika shambulizi lililotekelezwa na Boko Haram

1632953
Shambulizi la Boko Haram Nigeria

Watu 8 wamepoteza maisha katika shambulizi lililotekelezwa na Boko Haram na kulenga kituo cha wanajeshi nchini Nigeria.

Shambulizi hilo lilitekelezwa katika jimbo la kaskazini mashariki mwa Borno, Nigeria.

Watu 8, akiwemo askari mmoja, wamepoteza maisha katika shambulizi kwenye kituo cha jeshi, watu wengi walijeruhiwa.Habari Zinazohusiana