Meli yazama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Ajali ya meli DRC

1562491
Meli yazama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Watu 25 wamefariki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya meli kuzama.

Maurice Abibu Sakapela, Naibu Gavana wa Jimbo la Tshopo, amesema kuwa meli iliyokuwa ikitoka Kisangani kwenda Basoko ilizama kwa sababu ya kujaa kuzidi uwezo wake.

Watu 25 wamepoteza maisha katika ajali hiyo, juhudi za kutafuta na kuokoa watu 19 waliopotea zinaendelea.


Tagi: #meli , #ajali , #DRC

Habari Zinazohusiana