Mamluki wa "Wagner" ni tishio la uslama wa Libya na katika ukanda

Libya yasema kwamba mamluki wa Wagner ni tishi katika ardhi na katika ukanda mzima

1445255
Mamluki wa "Wagner" ni tishio la uslama wa Libya na katika ukanda


Libya yasema kwamba mamluki wa Wagner ni tishi katika ardhi na katika ukanda mzima.

Serikali ya Liby ambayo inatambulija na jumuiya ya kimataifa imesema kuwa mamluki wa "Wagner" katika ardhi yake ni tishio na hata katika ukanda mzima.

Uwepo katika mvisima vya mafuta Libya wa mamluki ni tishio kubwa la usalam akatika ukanda mzima.

Waziri wa mambo ya nje wa Libya amesema kuwa serikali inaendelea kwa kila hali  kuhakikisha kwamba mamluki hoa  wa Wagner wanaondoka katika eneo hilo na kuondoa moja kwa moja tishio la usalama wa kikanda katika eneo hilo.

Usalama katika uaknda huo ni  jambo muhimu la kuzingatiwa na sio tu Libya kama wanavyodai wengine ambao malengo yao ni hasi katika ukanda.

Waziri huyo ametahadharisha  kupitia  ukurasa wake wa Twitter  kuhusu  makundi ya wahalifu  na magaidi  wakiwemo mamluki wa Wagner  na Janjawids wanliopo katika maeneo hayo.

Waziri huyo ametoa wito  kwa mataifa ambayo yana mashirika ya mafuta nchini Libya kushirikiana na serikali ya Libya na kutoa taarifa ili kuwabaini mamluki  na  mataifa wanakotokea iliwa kuweze kutolewa  vikwazo vya kimataifa kwa mataifa ambayo  yanawaagiza mamluki hao.Habari Zinazohusiana