Wahamiaji 64 wakutwa wamefariki katika kontena nchini Msumbiji

Wahamiaji haramu 64 wakutwa wamfariki kaitika kontena nchini Msumbiji

1384115
Wahamiaji 64 wakutwa wamefariki katika kontena nchini Msumbiji


Wahamiaji haramu 64 wakutwa wamfariki kaitika kontena nchini Msumbiji.

Wahamiaji haramu 64 wakutwa wamefariki katika kontena nchini  Msumbiji  yafahamisha wizara ya afya  ya nchi hiyo.

Wizara ya afya nchini Msumbiji  imefahamisha kuwa  wakimbizi  64 wamekutwa wamefariki katika  kontena  mkoani Tete. Kaskazini Magharibi mwa Msumbiji.

Lori moja  limedhaniwa kutoka nchini Ethiopia  lilizuiliwa  na kukuta watu  64 wamefariki.

Watu 14  wameripotiwa kuwa salama katika kile ambacho kimetajwa kuwa  kitendo kisichokuwa cha kawaida.Habari Zinazohusiana