Mashambulizi ya Khaftar nchini Libya

Majeshi ya Halifa Khafter yafanya mashambulizi katika maeneo ya raia na hivyo kuvunja mkataba wa amani

1382309
Mashambulizi ya Khaftar nchini Libya

Makundi ya kijeshi mashariki mwa Libya yanayoongozwa na kiongozi asiye halali, Halifa Khaftar yashambulia kwa kurusha makombora maeneo ya kiraia huko kusini mwa Tripoli.

Akitoa taarifa kuhusiana na oparesheni hiyo Öfke Volkanı, mmoja wa viongozi wa serikali ya Umoja wa kitaifa inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa alisema, mashambulizi dhidi ya maeneo ya raia, shule na taasisi nyingine yanavunja mkataba wa kusimamisha mapigano.

Msemaji wa wizara ya afya Emin el-Haşimi, alisema kwamba  mashambulizi hayo ambayo yalilenga mji wa zamani yalipekea mtu mmoja kujeruhiwa.

 Habari Zinazohusiana