Shirika la ndege la Qatar kununua asilimia 49 ya shirika la ndege la Rwanda

Shirika la ndege la Qatar "Qatar Airways" limeanza mazungumzo kwa lengo la kunua asilimia 49 ya shirika la ndege la Rwanda "RwandAir

Shirika la ndege la Qatar kununua asilimia 49 ya shirika la ndege la Rwanda

Shirika la ndege la Qatar  “Qatar airways” limetangaza kwamba limeanza mazungumzo kwa ajili ya kuweza kununua asilimia 49 ya hisa za shirika la ndege la Rwanda “RwandAir

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Qatar airways wameweka maelezo yaliyotolewa huko Doha na mkurugenzi mkuu wa baraza la uendeshaji la shirika hilo, Akbar al-Baker. Mkurugenzi huyo alisema wameanza mazungumzo ili kununua asilimia ya hisa za shirika la RwandAir.

Mkurugenzi huyo pia alisema kwamba kabla ya mazungumzo haya ya ununuzi wa shirika la RwandAir, walishafikia makubaliano ya kununua asilimia 60 ya uwanja mpya wa ndege utakaoj jengwa Kigali sawa na dola bilioni 1.3.Habari Zinazohusiana