Sarraj asaini makubaliano  ya kusitisha mapingano, Haftar agoma

Mbabe wa vita nchini Libya jenerali Haftar agoma kusaini makubaliano ya kusitisha mapigano

Sarraj asaini makubaliano  ya kusitisha mapingano, Haftar agoma


Mbabe wa vita nchini Libya jenerali Haftar agoma kusaini makubaliano ya kusitisha mapigano .

Jenerali  Haftar, mbabe wa kivita  nchini Libya agoma kusaini makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Libya  huku  Sarraj ambae anaungwa mkono kimataifa akisaini makubaliano hayo.

Kulingana na taarifa zilizotolewa  kuhusu  makubaliano hayo ya kusitishwa mapingano jenerali Haftar amesema kwamba ametoa muda ili afikie kuchukuwa uamuzi  huku usitishwaji wa mapigano.

Makubaliano hayo  yanataarisha usitishwaji wa mapigano kusainiwa na waziri mkuu wa serikali ya umoja GNA Fayez al Sarraj, wakati ambapo Haftar akifahamisha kwamba ametoa muda kabla ya kuchukuwa uamuzi.

Waziri wa mambo ya  nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu  alijielekeza nchini Urusi  kwa ajili ya mazungumzo  kuhusu hali inayoendelea nchini Libya.

Baada ya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Urusi, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki alizungumza na waaamdishi wa habari.
 Habari Zinazohusiana