Mevlüt Çavuşoğlu azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Siera Leone

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Siera Leone

Mevlüt Çavuşoğlu azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Siera Leone

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya  nje wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu na waziri wa mambo ya nje wa  Siera Leone Nabeela Tunis kwa njia ya simu.

Vyanzo vya habari kutoka katika ofisi za waziri wa mambo ya  nje wa Uturuki vimefahamisha Jumanne kuwa  waziri Mevlüt Çavuşoğlu  amezungumz a kwa njia ya simu na  waziri wa mambo ya nje wa Sierra Leone.

Katika mazungumzo yao, waziri wa mambo ya nje wa  Uturuki amempongeza  Tunis kwa  kuteuliwa na rais  Julius Maada Bio  kuwa waziri wa mambo ya nje wa Sierra Leone.Habari Zinazohusiana