Shambulizi la kujitoa muhanga Nigeria

Watu 3 wameuawa katika shambulizi la kujitoa muhanga baada ya bomu hilo kutegwa kwenye gari katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

Shambulizi la kujitoa muhanga Nigeria

Watu 3 wameuawa katika shambulizi la kujitoa muhanga baada ya bomu hilo kutegwa kwenye gari katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

Kulingana na polisi wa Mogadishu,kuna majeruhi pia wamepatikana katika shambulizi hilo la bomu baada ya watu watatu kupoteza maisha.

Kundi la Al Shabaab limetangaza kuhusika na shambulizi hilo.

 Habari Zinazohusiana