Shambulizi dhidi ya Kanisa Burkina Faso

Watu wenye silaha washambulia kanisa Katoliki moja nchini Burkina Faso na kusababisha vifo vya watu 7

Shambulizi dhidi ya Kanisa Burkina Faso

Watu 7 wamepoteza maisha katika shambulizi lililofanywa dhidi ya kanisa Katoliki nchini Burkina Faso.

Kwa mujibu wa habari za vyombo vya nchi hio watu wenye silaha walifanya shambulizi katika kanisa Katoliki moja lililopo eneo la Dablo jimbo la Sanmatenga.

Mashambulizi hayo yalifanywa katika msongamano wa watu, na matokeo  yake hapo hapo watu 7 walipoteza maisha.

 Habari Zinazohusiana