Wahamiaji 70 kutoka Afrika wazama Tunisia

Wahamiaji sabini wa Afrika wamepoteza maisha baada ya mashua yao kuzama kwenye pwani ya Tunisia siku ya Ijumaa.

Wahamiaji 70 kutoka Afrika wazama Tunisia

Wahamiaji sabini wa Afrika wamepoteza maisha baada ya mashua yao kuzama kwenye pwani ya Tunisia siku ya Ijumaa.

"Angalau wahamiaji 70 wa Afrika wamezama katika pwani ya Tunisia jimbo la Sfax," taarifa ya Shirikisho la Waziri wa Tunisia ilisema.

Wengine kumi na sita wameripotiwa kuokolewa.

Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa kufuatia ajali hiyo.

Tagi: mashua , ajali , Tunisia

Habari Zinazohusiana