Omar al Bashar afungwa kifungo cha ndani nchini Sudan

Kituo cha televisheni cha Iran kimetangaza kuwa Omar al-Bashar hakuondoka Sudan bali amekamatwa na kufungwa kifungo cha nyumbani katika mji mkuu.

Omar al Bashar afungwa kifungo cha ndani nchini Sudan

Kituo cha televisheni cha Iran kimetangaza kuwa Omar al-Bashar hakuondoka Sudan bali amekamatwa na kufungwa kifungo cha nyumbani katika mji mkuu.

Kulingana na habari, jeshi limehimiza kutolewa madarakani kwa Bashir baada ya miezi minne ya maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga kupanda kwa bei za bidhaa na mahitaji.

Akizungumzia mabadiliko ya ghafla katika Halmashauri ya Uhamiaji wa Jeshi, Waziri wa Ulinzi Avad bin Avf amesema wananchi wameonekana kuridhika na hatua iliyochukuliwa  na jshi.

Waziri huyo ametaka nchi irudishe amani yake bila machafuko yoyote.

 Habari Zinazohusiana