Mauaji kabla ya uchaguzi nchini Nijeria

66 walıpotıwa kuuwawa na wengine wengi kujeruhiwa nchini Nijeria ikiwa ni masaa machache kabla ya uchaguzi kufanyika

Mauaji kabla ya uchaguzi nchini Nijeria

Watu 66 wamepoteza maisha katika shambulizi silaha lililofanyika katika jimbo la Kaduna nchini Nijeria.

Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wa jimbo Samuel Aruwan, alisema katika eneo la Maro Gida watu wasiojulikana wamefanya mashambulizi kwa kutumia silaha na kuua watu 66 na kujeruhı wengine wengi. 

Nchini Nijeria siku ya leo unafanyika uchaguzi mkuu wa rais ambapo wagombea wakuu ni rais alıyepo madarakani Muhammed Buhari na mgombea wa upınzanı kutoka chama cha demokrasıa ya jamii Atiku Abubakar

 Habari Zinazohusiana