Uturuki yakemea shambulizi la kigaidi Libya

Uturuki yakemea yashambulizi lililotokea mjini Tripoli nchini Libya

Uturuki yakemea shambulizi la kigaidi Libya

Uturuki yakemea shambulizi la kigiaidi lililolenga  kampuni moja ya mafuta mjini Tripoli nchini Libya. 

Shambulizi hilo lilisababisha vifo vya watu wawilia mbao walikuwa wakihusika na ulinzi katika kampuni hiyo.

Kampuni iliolengwa ni kampuni ya NOC.

Taarifa kutoka wizara ya mambo ya nje ya Uturuki imelaani vikali shambulizi hilo kwa kusema kuwa shambulizi hilo linalenga kurejesha nyuma  hatua iliokwishapigwa katika kudumisha amani nchini humo.Habari Zinazohusiana