Rais wa Benin kufanya zaira nchini Uturuki

Patrice Talon , rais wa Benin atarajiw akufanya ziara nchini Uturuki

Rais wa Benin kufanya zaira nchini Uturuki

Rais wa Benin Patrice Talon atarajiwa  kufanya ziara rasmi nchini Uturuki. Ziara hiyo inatarajiwa kanza Septemba 6. Rais wa Benin atafanya zaiara nchini Uturuki baada ya kupewa mualiko na rais Recep Tayyıp Erdoğan.

Taarifa kutoka ikulu mjini Ankara  zimesema kuwa mazungumzo  kati ya rais Erdoğan na rais Talon yatagubikwa na suala zima la ushirikiano ikiwemo pia ushirikiano wa kimataifa  na hali inayoendelea katika ukanda wa Afrika Magharibi.

Ziara hiyo ni kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

 Habari Zinazohusiana