Boko Haram wasababisha vifo vya watu 18 Chad

Watu 18 wamepoteza maisha katika shambulizi lililofanywa na kundi la Boko Haramu nchini Chad.

1017917
Boko Haram wasababisha vifo vya watu 18 Chad

Watu 18 wamepoteza maisha katika shambulizi lililofanywa na kundi la Boko Haramu nchini Chad.

Shambulizi hilo limeripotiwa kutokea katika kijiji Daboua mashariki mwa Chad.

Watu 18 wameuawa,wengine 2 wamejeruhiwa huku wanawake kumi wakiwa wametekwa.

Kundi la Boko Haram limekuwa likifanya mashambulizi toka miaka ya awali ya 2000 nchini Nigeria.Habari Zinazohusiana