Mwanamke wa kwanza muislamu ngazi za juu katika jeshi la Kenya

Fatuma Ahmed ni mwanamke wa kwanza wa imani ya kiislamu kuongoza katika ngazi za juu katika jeshi la Kenya

Mwanamke wa kwanza muislamu ngazi za juu katika jeshi la Kenya

Mwanamke wa kwanza mwenye imani ya kiislamu aapishwa kuongoza kama  jenerali katika jeshi la Kenya. Fatuma Ahmed  ameapishwa Ijumaa kuongoza katika wadhifa huo katika jeshi la Kenya.

Katika hafla ya kuapishwa kwa Fatuma Ahmed , rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa Fatuma ni mwanamke wa  kwanza muislamu katika cheo hicho na ni miongoni mwa mşfano ya kuingwa na wanawake wengine nchini Kenya.

Fatuma Ahmed ameapishwa kuwa meja-jenerali katika jeshi la Kenya.

 Habari Zinazohusiana