Paul Biya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu nchini Cameroon

Rais wa Cameroon Paul Biya atangaza kuwa atawania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyik nnchini humo Oktoba 7 mwaka 2018

Paul Biya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu nchini Cameroon

Paul Biya rais wa Cameroon ambae kwas asa ana umri wa miaka  85 ametangaza hapo Alkhamis kuwa atawania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika  ifikapo Oktoba 7 mwaka 2018.

Taarifa hiyo, rais  Biya ameitoa kupitia ukurasa wake Twitter. Paul Biya anawania kiti cha urais  katika uchaguzi huo.

Iwapo  atachaguliwa atakuwa anaingoza Cameroon  katika muhula wake wa 7.Habari Zinazohusiana