Benki ya Dunia yatoa mkopo wa dola milioni 500 kwa Tunisia

Benki ya Dunia yatoa mkopo wa dola milioni 500 kwa Tunisia kwa lengo la kufufua miradi ya maendeleo na sekta ya nishati nchini Tunisia

Benki ya Dunia yatoa mkopo wa dola milioni 500 kwa Tunisia

Benki ya dunia yatoa mkopo wa dola milioni 500 kwa Tunisia kwa aijili  ya mabadiliko katika  sekta tofauti ikiwemo sekta ya nishati.

Mkopo huo  ni kwa lengo pia la kulinda watu wenye kipato cha chini katika jamii nchini Tunisia.

 Habari Zinazohusiana