Leo katika Historia

Leo katika Historia

Leo katika Historia

Karibu mpenzi mskilizaji wa kipind chetu leo kataik historia,  kipindi chetu hukuzungumzaia  aadhi ya matukio muhimu  yaliotokea ktaika histoira.
 Ikiwa leo ni Januari 9 mwaka 2019, katika kipindi chetu tutakuzungumzia baadhi ya matukio yaliotokea  miaka iliopita tarehe kama ya leo.

 

Januari 9 mwaka 1916 mapigano ya Seddülbahir yalimalizika.  Mapigano ya Seddülbahir ylikuwa mapigano makubwa yalitokea Çanakkale.


Januari 9  mwaka 1936  Chuo kikuu cha Ankara kitengo cha lugha , Historia na Jiografia  kulianzishwa  hafla ambayo  baba wa taifa la Uturuki Atatütk alishiriki.  Katika hotuba yake waziri wa  elimu Saffet Arıkan alisema kuwa  wanafunzi wa Uturuki watasafisha  kwa mara nyingine utamaduni ulioharibika ulimwenguni.

 

Januari 9 mwaka 1951 , makao makuu ya Umoja wa Mataifa .  Eneo ambalo kunapatikana   makao makuu ya  Umoja wa Mataifa  mjini New York ni eneo la kimataifa  chini ya makubaliano  ya kimataifa na  sheria ya  majimbo Marekani.

 

Januari 9 mwaka 1991  utandikaji wa reli  mjini Cairo nchini Misri  ulimalizika na treni yake ya kwanza ilianza kazi zake za uchukuzi.

Januari 9 mwaka 1991,  uvutaji sigara katika  vypombo vya uchukuzi wa umma ulipigwa marufuku . Matangazo ya aina yeyote  ya sigara pia yalipigwa marufuku.Habari Zinazohusiana