Leo katika Historia

Leo katika Historia, Januari 8

Leo katika Historia

Leo katika histora mpenzi mskilizaji wa idhaa ya kiswahili kutoka Ankara, Jauauri 8 mwaka 2019.
leo katika historia tutakuanzia kuhsu matukio muhimu yaliotokea miaka tofauti Januari 8.

Januari 8 mwaka 1916 jeshi la washiriki lilishindwa dhdi ya jeshi la Utawla wa dola ya Ottoman.  Wanajeshi wa ushirika walianza kuondoka katika uwanja wa mapambano katika eneo la penensula ya Galipoli au Çanakkale. Kutokana na kushindwa kwa jeshi la washirika wa Magharibi, kamanda wa jeshi la Uingereza Winston Churchill alştangaza kujiuzulu.

Januari  8 mwaka 1642 mwanaastrolojia wa Italia Galileo Galilei alifariki akiwa gerezani alipokuwa maehukumiwa kutumikia kifungo.

Januari 8 mwaka 1945 bandari ya İskenderun  alizinduliwa.  Iskenderun  ni eneo lenye idadi kubwa ya wkaazi Hatay. Ni eneo lapili kwa watu wengi.Uturuki ni bandari ya nne kwa ukubwa.

jJanuari 8 mwaka 1960 kituo cha kufua umeme kwa kutumia maji kilizinduliwa.  kituo hicho kilijengwa karibu na mto Kızılırmak. Hirfanlı ndio jina la kituo hicho. ni moja kati ya vituuo vikubwa vya kufua umeme Uturuki.

 Januari 8 mwaka 1986  wanasanaa wanane  walipewa jina la profesa na baraza la elimu ya juu.  Miongon mwao walikuemo 
 Yıldız Kenter, Hikmet Şimşek na Nevit Kodallı Habari Zinazohusiana