Miradi ya Kitaifa ya Ulinzi

Viwanda vya kuhudumia ndege za ulinzi za kijeshi

Miradi ya Kitaifa ya Ulinzi

Mkurugenzi wa elimu wa umoja wa “Türk Harb-İş” Tarkan Zengin anatufafanulia mada hii...

Nchini Uturuki uwezo na uwepo wa karakana za meli pamoja na uwepo wa viwanda vya kijeshi ni muhimu katika ulinzi . Ingawa viwanda hivyo vya kijeshi pamoja na karakana za meli vimepata mafanikio makubwa, havitambuliki vya kutosha kwa umma.

Wakati mwingine baadhi ya bidhaaa zinazotengenezwa au kukarabatiwa  katika viwanda hivi vya kijeshi hudhaniwa vimetengenezwa au kukarabatiwa   mahala pengine.

Viwanda vya kijeshi pamoja na karakana za meli vinaongoza kwa ufanisi katika sekta ya umma.

Kawaida mfanyakazi bora wa mwaka, pamoja na kiwanda bora mara zote hutoka katika viwanda vya kijeshi.Katika utaifisishaji na uendelezaji wa viwanda hivyo vya kijeshi wafanyakazi wanaofanya kazi katika maeneo hayo ya kazi wanakuwa ni mashujaa wasioonekana.

Katika vita ya nchi yetu dhidi ya ugaidi, katika oparesheni za ndani na nje ya nchi wanjeshi maafisa na wasiokuwa maafisa kwa kushirikiana na wafanyakazi wengine wa kawaida wanafanya kazi muhimu na nzuri sana.

Kutokana na jaribio la mapinduzi ya kiuhaini ya Julai 15, mabadiliko yaliyofanyika katika mifumo ya kijeshi yalijumuisha pia mabadiliko katika viwanda vya kijeshi.Viwanda vya kijeshi viliwekwa chini ya wizara ya ulinzi katika kurugenzi mbili, Kurugenzi ya viwanda vya kijeshi na  kurugenzi ya karakana za meli.

Hivi sasa nchini uturuki katika muundo wa kurugenzi ya viwanda vya kijeshi kuna  maeneo ya kazi mengi  muhimu sana.  Katika makala haya nitazungumzia Kiwanda cha ukarakabati wa ndege kilichopo Eskişehir ambacho kinaongoza sekta hii kwa kazi nzuri zenye mafanikio.Katika makala zinazokuja tutaendelea kugusa viwanda vingine vinavyofanya kazi nzuri za mafaniko.

Toka kuwa gereji ya matengenezo mpaka kuwa kiwanda cha uhudumiaji  wa ndege nambari moja ...

Kiwanda hichi nambari moja ya uhudumiaji wa ndege kilianzishwa mwaka 1926 kama gereji ya matengenezo ya ndege. Hivi sasa kina miaka 92 tangu kianzishwe.Mpaka miaka ya 1950 kiwanda hiki kilikuwa kikifanya marekebisho na huduma kwa  ndege za jeshi zilizo kuwako wakati huo zenye propela.

Kuanzia mwaka 1950 kiwanda kikaanza kufanyia marekebisho na kuhubumia ndege za kivita. Mpaka kufikia mwaka 1968 kiwanda hiki kilitengeneza mota ya jet na kuifanya mpya tena kwa mara ya kwanza. Mwaka 1979 kilifikia daraja la kuwa kiwanda cha matengenezo ya ndege aina  F-4.

Mwaka 1980 kiliendelea na matengenezo ya aina nyingine za ndege. Mwaka 1992kiwanda kilipata uwezo wa kukarabati F110. Mwaka 1997 kiwanda kilianzisha mradi wa kuzifanya za kisaa ndege aina ya F-4 , miaka inayofuatia waliendelea kuzifanya za kisasa matoleo mengine ya ndege.

Hatua ya kwanza  na kujaribu inini nakazi ambazo zimekwishatekelezwa zilifanyika mwaka 2006.

Mabadiliko na ufanisi wa mtambo katika vifaa hivyo yaliendeshwa kwa kuweka mfumo mpya wa vyombo vya kisasa katika uwezo wa mabadiliko katika teknolıjia ya Uturuki.

 Baada ya miaka 10 ikiwa ni mwaka 2016, iliwekwa sambamba na uongozi mkuu wa viwanda vya  vya ujenzi wa vifaa vya ulinzi kwa ushirikiano na  wizara ya ulinzi  na kuteuliwa kama  uongozi wa kwanza wa viwanda  vya fifaa vya anga na AirCare 77 na kufikia hatua y aya juu katika viwandaa.

 Lao tunashuhudia kuwa ukarabati katika  viwanda hivyo  ndege 77 zimetoa uwajibikaji kwa watu zaidi ya 2 300 , miongoni mwao 260 ni wafanyakazi walioajiri kwa mikataba moja kwa moja na kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa tofauti.

Zaidi ya kazi hizo, ukarabati na injini  200 na vifaa vingine vya anga  katika makunditakriban 6000 vilifanyika katika  katika eneo la kazi.  Silaha na makombora  4700.

Mabadiliko kwa mfumo mpya wa kiisasa wa F-16 PO, T-38M Bee na T-38 PC -III  ni mradi kabambe ambao  una umuhimu  mkubwa katika kipindi kilichopo.  Katika hali ya uwajibikaji ni wajibu kwa mafundi na wataalamu katika teknolojia   kuimarisha ukarabati  kutokana na ujuzi wao ili kuhakikisha kwamba  ujuzş wao unakuwa na manufaa katika ulinzi kwa sasa.

Vituo vya ukarabati  wa kiteknolojia  vinaendelea na  harakati zake katika uwajibikaji kufikia katika malengo.  Viwanda vya ujenzi wa  vifaa vya ulinzi au sialaha na kuzalisha vyombo vipi  vimepata usaidizi kutokana na ujuzi ambao tayari ulikuepo. Uongozi wa  jeshi la anga umeonesha katika operesheni zake kuwa  ni hatua kubwa ambayo imepigwa katika jeshi la anga.

Uongozi hu unwajibika kama inavyostahili kwa ufundi na ukarabati pindi kunapotokea hitilafu . malengo ni kufikia katika vifaa ambavyo vinatakuwa na ubora zaidi. Katika majaribio  kuna  jaribio ambalo huusika na  kuhakikisha kuwa ubora wake unastahili na kuanza kwake kutumiwa hakana madhara wala hitilafu ya aina yeyote ile. Kuna vyombo ambavyo vina viwango vya juu zaidi  katika teknolojia ya kisasa. Wafanyakazi katika  vituo hivyo wana ujuzi mkubwa katika teknoloji na wenye vyeo katika jeshi .

 Kituo cha ukarabati na uchunguzi Ulaya

Uongozi wa kwanza wa ukarabati wa vifaa vya anga  unaendelea na  na shuhuli zake  chini ya masharti yaliowekwa kimataifa na makubaliano ya kimataifa ambayo yanalenga kuheshimu  na kulinda mazingira, afya bora na usalama katika uzaishai wa vifaa vipya na maabara zake.

Ukarabati na  mabadiliko  ni jambo ambalo linapelekwa katika mfumo wa kisasa katika teknolojia.

 Malengo ya  kazi kama uongozi wa jeshi la anga  ni kuwa kituo cha  ukarabati na ufutiliaji ambao mchango wake ni kupiga hatua zaidi katika vifaa vya ulinzi vya anaga vyeny ubora wa hali ya juu. Vyombo vya anga na mafundi walio na utaalamu mkubwa , usiku na mchana  ni wajibu wao kuangali ni kipi kinachohitajika ufikia ulinzi unaohitajika.

Kutokana na ufanisi wake  imekuwa kituo cha mafunzi  ya kiufundi  kwa mataifa ya Ulaya na sio tu kwa jeshi la Uturuki bali kwa ndege aina ya JSK F-135 na kuwa kituo cja ukarabati katika ukanda.

Ikiwa na wataalamu walibobea na kuwa na ujuzi mkubwa wa vifaa vyenye ubora ndio sababıu na kufikia katika ubora ambao unatoa matumaini wakati  ujao.

Kutoka  kwa Mkurugenzi wa Elimu wa Umoja wa “Türk Harb-İş” Tarkan Zengin

                     Habari Zinazohusiana