Waislamu nchini India
Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Kudrte BÜLBÜL anatufafanulia mada yetu

Mtaalamu wa sayansi ya jamii David Harvey amefahamisha kuwa wakati tulionao katika kipindi ambacho tunashuhudia baada ya juhudi za maendeleo, harakati za mabadiliko kutokana na utandawazi zinaweza kutufanya kuwa katika ushirikiano na mshikamo wakati huo pia kuwa katika mtengeno. Historia ya pamoja inaweza pia kutufanya wenye kusahau uzoefu tulionao.
Wiki hii tutawazungumzia waislamu nchimi India. Kwa sasa India imekuwa mbali na uislamu kama Mexiko katika mtazamo wa kijamii. India ilikuwa hivyo katika historia yake?
Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Kudrte BÜLBÜL anatufafanulia mada yetu…
Historia ya uislamu iliosahaulika ya India
India kama inavyofahamishwa kuwa nusu Bara, inajumuisha India, Pakşstani na Bangladesh katika kipindi cha Khalifa Omar
Shirika la habari la TRT la Uturuki na chanzo chake cha habari TSR limemuarifu kurugenzi katika kitengo cha utafiti Mashreq Center katika mkutano wa AYBÜ SBF. Omar Anas amesema kuwa uislamu nchini India uliingia kwa namna tatu. Kwanza kabisa namna ya kwanza kama iliyotumiwa na wafanyabiashara wa kiislam kama ilivyokuwa nchini Indonesia katika historia. Wafanya biashara wa kiislamu kutokana na usawa waliokuwa wakionesha katika biashara zao uliweza kuwa kivutia na kuwashawisha wasiokuwa waislamu kuwa waislamu.
Kwa namna ya pili usufi katika eneo la Asia ya Kati ndşo imeni iliokita mizizi yake India. Dr Anas amesema kwamba Mevlana Jelalidin Rumi anatambulika vema Ulaya. Waislamu wa India hususani wenye kufuata dhehebu la sufi, pindi wanapotembelea mkoa wa Konya nchini Uturuki kutalii na makaazi ya Mevlana huwa wenye furaha. Konya na imani ya kisufi India inaweza kuwa kama kşunganishi kati ya mataifa hayo mawili.
Mevlana aligundua eeneo ambalo ni karibu na India, Afghanistan ndio ardhi asili ya Horosan. Mevlaa kwa kweli ni kiunganishi muhimu kwa muda wa miaka mingi katika eneo la Anatolia . Kila kipindi kinafanana na eneo lake kijeografia, taifa na watu.
Na nafasi ya tatu ni kuhusu uongozi wa kiislamu ambao ulikuepo kwa kipindi cha karne kadhaa. Viongozi wa kiislamu wenye asili ya Uturuki walionesha umuhairi wao India katika uongozi kwa miaka mingi.
Viongozi hao walionesha kuheshimu utofauti katika imani katika jamii kama inavyoshuhudiwa katika Historia katika kipindi cha Uthmania na uongozi wa Andalusia. Kama ilivyo katika tamaduni tofauti, wanakiki hutegemea kilimo . Eneo hilo ambalo limetajwa kuwa nusu bara kulikuwa na idadi kubwa ya wasomi wa kiislamu.
Tukiangazia katiki historia tunamuona msomi mkubwa katika ulimwengu wa kiislamu Imam Rabbani (1564-1624), ambae aliandika miaka ya uhai wake 1602 na 1662. Vitabu vingine ambavyo vilizungumzia waisşlamu Hasan an Nadwi katika uhai wake (1914-1999) .
Baada ya India kukaliwa kimabavu na Uingereza katika kipindi cha ukoloni uislamu ulianza kupotea na kuweza kusahaulika. Na hali hiyo ndio inavyoshuhudiwa kisiasa India, Pakistani na Bangladesh. Juhudi za kihistoria zilionekana katika eneo hilo kutokana na kukaliwa kimabavu.
Kwa sasa India ikiwa na idadi kubwa ya watu , taifa hilo limekuwa taifa lenye waislamu wengi baada ya Indonesia. India ni taifa la pili lenye waislamu wengi ulimwenguni. Licha ya idadi ya waislmu kuwa kubwa nchini India waislamu nchini humo wanajipata katika hali isioridhisha kutokana na baadhi ya viongozi wasiokuwa na maadili ya usalama na ubepari.
Uongozi wa kisulatani wa Uturuki uliodumu miaka 700
Masultani wenye asili ya kituruki walitawala kwa kipindi cha miaka takriban 700 katika nusu bara hilo. Utawala huo ulikwenda hadi mwaka 1857. Uongozi ambao ulifahamika mno katika utawala ambao uliongoza katika eneo hilo ulikuwa uongozi wa sultani Babür şah na mwanae Cihangir şah. Uongozi huo ulikuwa uongozi ambao ulikuwa umeshamiri. Sultani wa mwish Babür şah na Cihangir şah waliongolewa katika utawala na Uingereza mnamo mwaka 1857. Kuondolewa kwao katika utawala kulipelekea usulatani kufikia kikomo katika katika eneo hilo. Kulikuwa na ushirikiano wa kutosha kati ya uongozi wa kisyltani wa Uthamnia na usultani wa India. Ushirikiano ulipelekea hadi familia ya Uthmani kuwa na ukaribu na uongozi wa India kutokana na wanao kufunga ndoa.
Uingereza ilikalia mapema India au waislamu waligundua Marekani?
Nchini India kwa sasa kunapatikana lugha 18 ambazo ni lugha rasmi na vile vile kuna lugha zaisi ya 400 ambazo ni za kikabila. Vile vile tunalitambua taifa la India kuwa taifa tajiri kimila, kiimani, kştamaduni na kilugha. Utajiri huo ungekuwa ushawishi kwa uongozi wa kiislamu kwa muda mrefu ambao ni zaidi ya karne kadhaa za utawala. Tunashuhudia kuwa mfumo wa ungozi ulikuwa mbali na utamaduni, lugha na imani ambazo zilikuepo katika maeneo hay ona kuchukuwa utajiri huo kama utajiri ya usatarabu na utwala uliokuepo. Yote hayo ynashuhudiwa pia katika maeneo yote ya utawala wa Dola ya Uthmania kama Andalusia. Kutokana na hilo uongozi wa kiislşamu uliendelea kuepo na utamaduni ulikuepo pia kama imani, lugha na utamadunii havikuweza kupoteza mwenendo wake hata baada ya uongozi huo kuondoka.
Lugha ya kiingereza ni moja miongoni mwa lugha rasmi nchini India, Pakistani na Bangladesh . Uongozi wa kiislamu ambao ulichukuwa muda mrefu tunaweza kuzungumzia eneo la Balkans na Andalusia , maeneo ambayo yallitawaliwa na dola ya Uthmania hayafahamu lugha ya kituruki. Marekani tunafahamu kuwa baadhi ya jamii ambazo zilikuwepo kihistoria na jamii ambazo zilikuwa na lugha ya ona imani kwa sasa kitamaduni ni jamii ambazo zinaonekana kutoeka moja kwa moja.
Jambo hilo linapelekea kujiuliza swali kama vipi iwapo Uingereza ingekuwa India tangu miaka ya 1400? Kama Marekani miaka ya 1800? Bila shaka India ingekuwa ni taifa mablo lingekuwa kama Marekani ambalo mzungu alilazimisha lugha yake , imani yake, utamaduni wake na kundoa utamaduni uliokuwepo.
Iwapo Marekani ingekuwa imegunduliwa na waislamu je wakaazi wa eneo hilo wangekuwa na katika hali kama iliopo leo?imani, utamaduni na lugha za wakazi wake hazingetoeka kamwe tunavyoshuhudia lugha ya jamii ya Aztek, Inka na Maya ambazo tayari zinashuhudiwa kutoeka, uongozi huo ungekuwa kama uongozi tnaoshuhudia leo?
Baada ya Uingereza kukalia kimabavu India, sio tu utamaduni wa Magharibi uliochukuwa hatamu bali nusu bara hilo lilikawika mara kadhaa na mataifa mengine kuondwa. Tunafahamu vema kuwa Uingereza ilipelekea kuwa mataifa ya India, Pakistani na Bangladesh. Utengano huo unatufanya kuelewa malengo ya ubepari wa Uingereza ambao ulipelekea waislamu kuipata katika mtego. Mataifa hayo yalitakiwa kuwa taifa moja bila ya kujigawa. Kama ingekuwa taifa moja basi kusingeshuhudiwa kuwa na migagoro ambayo hadi leo ni kuzuizi cha amani katika ukanda. Kumekuwa mapigano ambayo hutokea kila wakati kati ya mataifa hayo kwa kugombea maeneo ambayo yalikuwa n katika taifa moja.
Vita vya uhuru na waislamu wa India
Wakati Uingereza ilipovamia na kushambulia maeneo ya Utawala wa Dola ya Uthamnia katika vita vya kwanza vya dunia, waislamu wa India walikabiliana na uvamizi. Walijipata chini ya himaya ya Uingereza. Hali hiyo ilipelekea mabepari kuwa na matumaini katika harakati zao.
Uthmania nayo haishindwa kusimama kwa mara nyingine na kuwa na matumani mapya, vuguvugu la Jinnah na Gandhi vilipata usaidizi wa Uthmania. Kulikuwa na maandamano ambayo yalipinga ubepari huo wa Uingereza katika ardhi ambayo ilikuwa na umoja. Mazungumza yaliandaliwa kati ya waziri mkuu wa Uingereza wa kipindi hicho. Kulitolewa michango ambayo ilikuwa na umuhimu katika vita vya ukombozi .
Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Kudrte BÜLBÜL ametufafanulia