Upeo ulio sahihi unatosha?

Kutoka katika chuo kikuu cha Anakra Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatufafanulia

Upeo ulio sahihi unatosha?

Katika  makala yetu  wiki iliopita  tulizungumzia kuhusu Magharibi, mitazamo,  na kushindwa kisakolojia hakuna mauiano na  kile ambacho huwa tukitaraji kukifanya. Suala ua mada hiyo inatakiwa kujadili n a kufafanuliwa kwa kina.   Swali la kujiuliza ni je? Uwepo  ambao unaoekana kuwa mzuri kimkakati  ndio suluhu  kunako changamoto na kuwa maono katika mtazamo huo. Kuwepo katika eneo ambalo linaonekana  sawa kimkakati inatosha? Je? Tunaweza  kutatua changamoto  kwa ufanisi?

Kutoka katika  chuo kikuu cha Anakra Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa Daktari  Kudret BÜLBÜL anatufafanulia…

 Uwepo kimkakati, mtazamo , malengo  bila shaka  ndio suluhu  kunako changamoto zinazotukabili au tunaweza kusema kuwa  ni vipengele muhimu katika juhudi za kufikia katika  malengo tuliojiwekea.

Iwapo tutajielekeza katika njia isiokuwa sahihi, vyovyote vile tutakavyofanya na idadi yake kubwa  hatutoweza kufikia katika malengo tuliojiwekea. Kutokufahamu  lengo na na lengo  baya ni tatizo kubwa.

 Hakuna yeyote ambae  anaweza kutoa msaada  kwa mashua inaytambua vema ni wapi inapoenelekea.  Changamoto zote ambazo tunakabiliana katika  maisha, changamoto ambazo zinatuzuia kufikia kile ambacho tunaona ni muhimu kuna umuhimu wa mjadala  kuhusu masuala hayo ambayo tunakabaliana nayo kila kukicha.  Ila swali  la kujiuliza  ni kwamba tunaweza kufikia  kutatua hilo kwa  kutofanya lolote na kusubiri? 

Tunatakiwa kujipa muda na jambo hilo.  Kuna wakati ambapo huwa tukifkiri kuwa mijadala na kubadilishana fikri na mştazamo pekee ndio suluhu na inatosha katika kutafuta ya jambo ambalo lililkuwa limewakutanisha wau ambao walitakiwa kuchuwa uamuzi kuhusu jambo  ambalo lilikuwa likizungumziwa. 

Jamblo tunalishuhudia kila wakati mi mazungumzo na mijadala kuhusu  mada fulanai katika jamii na baade ukurasa wake kufungwa bila ya jambo lolote kufanyika.

Changamoto na matatizo katika ulimwengu wa kiislamu  ynaweza kupatiwa ufumbuzi kwa  mijadala pekee?  Hadi lini , wakati gani tunatakiwa kuwa na mtazamo kama huo?

Mitazamo na fikra tofauti  vina nafasi muhimu.  Tunafahamu kuwa historia ya binadamu ina changamoto na historia hubadilika .  Mitazamo na fikra hizo zinatakiwa kuwekwa katika vitendo  kwa kuwa sio fikra zinazojenga  misngi katika maisha yetu bali  hatua ambazo tunatakiwa kuchukuwa na kuziweka katikavitendo.

 Tunapokuwa na mtazamo katika jambo fulani, mara nyingi huwa tukiuona mtazamo huo kuwa mtazamo sahihi na ambao hauna haja kubadilishwa, swali la kujşuliza je?  Tunaweza kubadilisha mtazamo huo na   kuwa na uhuru wa kuwa na mitazamo tofauti? Tunaweza kuwa na mitazama yenye manufaa na yenye kujenga  ila kuliasia kuwa  tu na mitazam hiyo bila ya  kuamka na kuwa na nia ya kuweka katika vitendo basi iyasalia kuwa mitazamo tu.  Tunatakiwa kuamka na kuondoka katika giza.  Iwapo tutafanya hivyo  basi tutakuwa ni wenye kujidanganya , kufikiri kuwa mabadiliko hupatikana baada ya kuweka  pamoja fikra na vitendo.

Kuna  mşjadala muhimu ambayo inahitaji  mz-suguan wa mitazamo na fikra tofauti.  Katika matembezi katika maeneo tofauti ndipo mtu hufikia hatua ya kupima fikra zake na fikri za watu wengine  na baade kutafakari ili kufikia katika uamuzi ulio na manufaa.

Mtu hufikia kuwa na mitazamo tofauti kutokana na  madhila au maisha aliopitia. Vile vile kuna mştazamo ambayo hupelekea katika  hasara.

Katika historia tunafahama kuwa kuna  hasara ambazo ziliitokeza kutokana na ukosefu wa  utafiti katika jambo  katika maisha. 

Mtazamo ambao ni  mtazamo usiokuwa na midhani, mtazamo huo   unaweza kuwa na madhara.  Mtazamo wenye matmani ni mtazamo wenye manufaa katika maisha  kutokana na kujaa kwake na  matukio yenye kutoa moyo  maishani.

Ndivyo kama ilivyo imani ya uislamu, imani ambayo  inatutoa katika mizamo isiokuwa na hai  na kinyume na maisha ya kila siku. Mtazamo wa imani ya kiislamu ni mtazamo wa mifano na mutukio yalio hai.

Leo tunashuhudia kutokakuwa na  uthibitisho mkubwa  na kuchukuwa maamuzi.  Hali hiyo  haiwezi kupelekea maendeleo. Mfumo wa msingi tayari umewekewa mikakati.  Moja miongoni mwa matatizo yanayotukabili ni kutokuwa na uiano  wa kwenda sambamba na  matakwa yetu  wakati tunapojaribu kuyaweka katika vitando ambavyo  mara kadha imeonekana kutokufaulu.

Licha ya kutoa hotuba ambazo zinaoekana kujawa na  upeo mkubwa wa kifikra,  bado  hatuna  ujuzi  na  hakuna mabadiliko.

Katika maisha yetu ya kila siku tunatakiwa kuwa na  vishawishi ambavyo vinatupa motisha wa kufanya kazi, kupambana na kuongeza juhudi katika  kazi zetu za kila siku ili kufikia katika malengo  tuliojiwekea. Jihad, nen hilo lina tafsiri ambayo inatufafanulia kuwa tunatakiwa kuwa na juhudi kwa kila jambo ila bahati mbayo neno hilo linaeleweka  kinyume.

Chochote ambacho tutakuwa kukifanya katika maisha yetu ya kila siku ni kuhakikisha kuwa tunafanya kwa malengo na kwa moyo mmoja. Jambo ambalo linahitajika katika hilo ni  kuwa na kuali nzuri ambazo zimejawa na matumaini. Jambo hilo linatufanya kukabiliana na lolote ambalo litakuwa kama kizuizi.

Tukiangalia kwa mara nyingine akama tulivyofahamisha hapo awali tunaona kuwa kuwa mtazamo  chanya ni jambo ambalo  huumpa mtu moyo katşka jamb lolote  ambalo ni matarajio.  Iwapo mtu atakuwa na mtazamo hasi basi hatofikia katika malengo yake.  Kuwa na mtazamo ambao ni msimamo mkali unapelekea moja kwa moja katika hali ya ugumu wa ueleo wa ambo.

Kutoka katika  chuo kikuu cha Anakra Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa Daktari  Kudret BÜLBÜL ametufafanulia


Tagi: fikra , mtazamo , upeo

Habari Zinazohusiana