ULINZI WA KITAIFA NA SATELAITI
Ifuatayo ni tathmini ya mkurugenzi wa Umoja wa biashara wa Türk Harb-İş ,Tarkan Zengin juu ya suala hilo

Nchi zinafanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya ulinzi ili kulinda nchi na wananchi. Moja ya nchi kubwa ambazo sekta ya ulinzi ni njia kuu ya uwekezaji katika kuleta usawa wa nguvu duniani ni Uturuki. Uturuki ni miongoni mwa nchi 15 za kwanza zenye matumizi ya juu ya kijeshi katika 2014. Mwaka 2017, Tele bilioni 29 zilitumika katika sekta ya ulinzi. Kiasi cha matumizi haya ya ulinzi katika bajeti kuu ni asilimia 4.62.
Uturuki inaathiriwa kwa kiasi kikubwa na Jiografia. Uturuki pia imekuwa ikishughulika kupambana na makundi ya kigaidi kama vile PKK, PYD / YPG, DAESH, DHKP-C na makundi mengine mengi.Wakati wa kukabiliana na changamoto hizi,ni lazima kutumia bidhaa za ulinzi na mifumo inayotakiwa ya teknolojia. Hii ni hatua muhimu katika maendeleo ya bidhaa za ulinzi katika miaka ya karibuni, Uturuki inakua bora kila siku.
Kwa mfano uzalishaji wa taifa ndani wa ulinzi ulioanzishwa mwaka 2004, umeongeza kiwango cha ajira katika sekta hiyo kutoka asilimia 20 hadi asilimia 65 hivi leo.
Viwango vimeongezeka kwa asilimia 90 hasa katika sekta ya ndege zisizokuwa na rubani. Tumekuwa moja ya nchi chache zinazozalisha bidhaa nyingi za ulinzi kote ulimwenguni. Kwa mfano, sisi ni mojawapo ya nchi tatu zinazoweza kuzalisha bidhaa zinazojulikana kama Kamikaze (Alpagu, Kargu) ulimwenguni.
Uturuki imeingia katika nchi zita zinazotengeneza ndege zisizokuwa na rubani,UAV na mfumo wateknolojia ya mabomu duniaini.Bidhaa hizo hazitumiki kwa mahitaji ya Uturuki tu bali huzalishwa ili kukidhi mahitaji ya marafiki na washirika wa nchi hiyo.
Mwaka 2002 takriban kiwango cha dola bilioni 5,5 kilitengwa katika bajeti ya ulinzi na mşradi zaidi ya 66. Kiwango hicho kiliongezeka mara 11 na kufşkia dola bilioni 60 na mşradi katika ulinzi iliongezeka kwa zaidi ya mara 9.
Kwa mfano uliohai , atua iliofikiwa na uzalishaji wa mfululizo na uzalishaji wa silaha za mashambulizi kwa jeshi, jeshi la Polisi na viongozi wa ngazi za juu katika serikali na vikosi vinavyohusika na ulinzi wa viongozi. Katika kipindi cha miaka mine iliopita Bayrakler TB2 ilitumika katika mapambano dhidi ya ugaidi.
SATELAITI ZA UTURUKI
Uturuki imekuwa na ozoefu kutokana na satelaiti ambazo zilitumwa katika anga.
Mwaka 2011 wahandisi wa Uturuki waliunda satelaiti ya uchunguzi Göktürk-2 na mwaka 2012 satelaiti ya Göktürk-1 . na satelaiti hiyo inaendelea kufanya vizuri tangu tangu kuwa angani mwaka 2016. Mojo miongoni mwa maslahi muhimu ya satelaiti hizo ni kuraisisha harakati za kupambana na makundi ya kigaidi kwa kutuma picha zilizonaswa kwa jeshi ili kuendesha mashambulizi kwa kulenga shabaha na kuwashambulia magaidi katika ngome zao aua maficho.
Uturuki ana mradi wake ambao malengo yake ni kurusha satelaiti yake angani ifikapo mwaka 2020. Satelaiti ya kwanza ya Uturuki Turksat 6 ipo katika hatua ya kumalika na mafundi wapo katika maabara kuahkikisha kuwa mradi huo unafikiwa. Göktürk-1 ilikuwa katika hatua za mwisho ili ilizuiliwa kufuati vikwazo vilivyowekwa na Israel dhidi ya shirika la Ufaransa.
Malengo yake satelaiti hiyo ilikuwa kutao na kunasa picha zilizokuwa na ubora, Göktürk -1 inauwezo wa kukusanya taarifa na uchunguzi kufikishwa katika jeshi kutokana na kamera zake zenye ubora na nguvu.
Uturuki ilijundia vyombo vyake kwa kuwa haikuwa na haja kuvutana na Israel katika suala hilo. Uturuki ni miongoni mwa taifa mabayo pia yamepiga hatua kubwa katika sekta ya teknolojia ya kisasa.
tathmini ya mkurugenzi wa Umoja wa biashara wa Türk Harb-İş ,Tarkan Zengin