Miaka 26 ya ushirikiano kati ya Uturuki na Kazakistani

Kutoka katika kitengo cha  ushirikiano wa kimataifa chuo kikuu cha Ankara Daktari Cemil Doğaç İpek

Miaka 26 ya ushirikiano kati ya Uturuki na Kazakistani

 

Ushirikiano  wa kidiplomasia kati ya Uturuki na Kazakistani umefikisha miaka 26 mwaka 2018.  Katika makala yetu wiki hii tutazungumzia kuhusu ushirikinao uliopo bain aya Uturuki na Kazakistani.

Kutoka katika kitengo cha  ushirikiano wa kimataifa chuo kikuu cha Ankara Daktari Cemil Doğaç İpek anatufafanulia…

Mwaka 2018 Kazakistani na Uturuki ni mataifa ambayo kwas asa yametimiza miaka 26  yakiwa katika ushirikiano .

Mnamo Machi 2 mwaka 1992, Kazakistani ilijipatia uhuru wake .  muda mchache baada ya Kazakistani kutangaza uhuru wake Uturuki muda mchache baadae iltangaza pia kulitambua  taifa la Kazakistani  na uhuru wake.  Baada ya harakati na kutangazwa kwake Kazakistani kuwa taifa huru  Uturuki na taifa hilo kulisainiwa makaubaliano ya ushirikiano katika  sekta tofauti.  Ikiwa pamoja na ushirikiano katika  siasa baina  ya Uturuki na Kazakistani, eneo zima la Eurasia , Uturuki inashirikiana pia na Kazakistani kama mshirika wa kimkakati ambae ni mshirika muhimu.

Kazakistani na Uturuki ni mataifa ambyo pia yanashirikiana katika set aya uchumi. Jambo linaifanya Uturuki kuwa mshirika wa karibu wa Kazakistani katika sera zake za nje . 

Baraza la Istanbul  na  makao makuu  ya  bunge la Azerbaijani  na mataifa ambayo yanazungumza lugha ya kituruki katika muungano wa TURKSOY   na ushirikiano  katika sanaa na  utamaduni.

Kazakisttani na Uturuki katika ushirikiano   harakati za pamoja zinashuhudiwa katika  taasisi tofauti  vile vile katika ushirikiano  katika sekta ya uchumi.

Ushirikiano katika sekta ya elimu bain aya mataifa hayo mawili  katika kipindi muafaka.Habari Zinazohusiana