Kushindwa hakusababishwi na saikoloijia bali kutojiamini

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazıt  kitengo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatuletea uchambuzi

Kushindwa  hakusababishwi na saikoloijia bali kutojiamini

 Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazıt  kitengo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatuletea uchambuzi

Wiki zilizopita tulizungumzia mfumo na  mwenendo wa Magharibi, na   makundi  ya watu wenye misimamo mkali ya kisiasa na kupinga mabadiliko yanayoshuhudiwa Magharibi.  Tunaweza kuzungumzia pande mbili . Tulizungumzia wahamiaji wanaoishi  katika mataigfa tofauti barani Ulaya na  maisha ya waislamu barani humo  ikiwa moja  ya jamii ambazo zinatambulika.

Kutokana na kutupilia mbali kanuni zake  katika jamii , jamii ambayo  kunatendekea  kile ambacho kimeonekana kwa wakimbizi  kama ulinzi wao , kğnyume chake pia ni sahihi. Kutaokana na kutengwa katika jamii  ni wazi kuwa madhara  yake hupelekea aliendengwa au mtu aliewekwa kando na jamii  kuwa na mwen endo ambao hauko sawa katika jamii. Kunyenyekea na kkutupilia mbali kanuni  inaweza kuwa  isiwe wazi bali  kwa kuwa ni mwenendo ambao umejitokeza  madhara yake lazima yashuhudiwa.  Miendenendo hiyo  hufikia katika hatua ambayo huenkana kuwa imekithisi  na hali hiyo humpelekea mtu kuunda mikakati mipya ili kuweza kujikwamua.  kadri siku  ziku zinavyokwenda.

Vile kipindi ambaacho hutukea katia mienenda hiyo ni kipindi  kigumu kwa kuwa huwa kukitarajia kubadilishwa na mitazamo.

 Kuna uwezekana wa mabadiliko kuwa na athari kubwa , kutengwa  huo kukipelekea mabadiliko  ambayo pia hutupilia mbali  maadili ya kiimani na kuonekana katika maeneo  tofauti kama vilabu, vilevi,  kama kimbilia ili kujisikia katika jamii ya watu waliompokea na kumkubali.

 Hal hiyo bila shaka haina manufaa yeyote  katika  jamii ambayo anayoishi.

Hatua  iliosahihi  na sio saikoloijia isiokuwa ya ushindi

Hali hiyo ambayo inaonekana kuwa ikitupiliwa mbali na  wale ambao   wanajaribu kukabiliana na changamoto wanaweza kuwa na kimbilio kwa mbinu zilizoelekezwa na  Said Halim Paşa . katika kipindi cha vita vya kwanza vya dunia  na uharibifu wake  kulikuwa na lawama kemkem kutoka Magharibi.

Katika jamii ya Magharibi, unynyekevu  ni mojja  miongoni mwa  masharti katika  jamii  ambapo kumeshuhudiwa  unyenyekevu huo.

 Hali hiyo ambayo  huwatenga whamiaji nao kwa upande  mmoja au mwingine  huanza jambo ambalo huonekana kuwa kama  kimbilia ikiwa pamoja na  imani  na  tamaduni. Kwa kila mbacho kinahusu imani ya uislamu , imani ambayo inafahamisha kuwa jawabu kwa  tofauti na   matatizo yanayojitokeza tangu kuumbwa kwa Adam na hawa hali hiyo inatakiwa kuwa na  uhalisia wake.

Kuna umuhimu kwa kila ambo kuwa na kinyume chake kwa kuwa ueleo wake huo ukiitaji ufafanuzi. Uislamu unaanza kwa kukanusha  kuwa imani nyingine   katika kipengele cha imani ndio sahihi   katika kukubali moja ya misingi na nguzo za uislamu.

Inatajwa kuwa iwapo  mtakuwa katika sayansi mnatakiwa kutoa wito na kujiuliza ni nini sayansi, sayansi ni ujuzi, ufundi , mbinu, mfumo na kuwekwa katika vitando.

Tunaweza kufuati mwenendo wa mtume Mohammad  alipokuwa Makka , mwenenfdo wake katka kipindi hicho katika jamii ni mwenendo ambao unastahili kuigwa.  Kutokana na kipindi tulichonacho Makka ndio eneo ambalo linastahili kuigwa na mwenendo wake katika historia ndio unastahili kuingwa na kuwa mfano. Mtume alikuwa na m-ushirikiano na maisha ya namna k-gani katika jamii , nbaadhi ya jamii zilionekana kuwa na mwenendo ambayo ulikuwa mwenendo usioridhisha.

Mtu alikuwa  akizungumza na watu tofauti na watu wenye mştazamo tofauti licha ya kujali  tofauti na kuelewa  ni mtazamo upi waliokuwa nao.  Kuna namna tatu za  ushirikiano  katika jamii,  matendo katka jamii na mwenedo wake  na kuwafahamu ni nani ambao  unazungumza nao  na wana upeo wa kiasi gani  katika ueleo  katika mijadala.

Mavazi, ndevu na baadhi ya watu  wamonekana kuwa katika  mtazamo ambao ni mtazamo usikuwa sahihi kuhusu mwenendo wa mtume  Makka.  Mtume aliweza kutatua  tofauti ambazo zilijitokeza  katika jamii kutokana na mitazamo  katika jamii. Tunaweza kusema kuwa mtume alipunguza ndevu zake  na wapo pia waliofuati.

Mbinu hiyo tunaweza kusema kuwa ilikuwa mbinu ya kianalitiki Mashariki, Magharibi, Kusini, Kaskazini  , kipindi  cha sasa na utandawazi kuna umuhimu  mkubwa kuzungumzia katika  Nyanja tofauti kwa sasa.

Kutokuelewa mbinu zilizotumiwa katika kipindi hicho kunapelekea watu wenye ueleo mdogo  kama vijana kujunga katika makundi ambayo huo na  madhara makubwa katika jamii  kama kundi la  Daesh.

Mwisho wa sharia katika kipindi cha  utawala wa  dola ya Ottoman na mahakama ya  kiislamu.  Jambo lililokuwa muhimu ni  vipengele tofauti ambavyo vilikuwa na umuhimu mkubwa . kulikuwepo na kğpengelea au vipengele ambavyo vilikuwa vikionesha  umuhimu wa uhuru katika maisha na  kuhusu pia saikolojia ya kushindwa  na mbinu za kukabiliana na kutoa ufafanuzi  katika vipengele tofauti.

 Hali iliopo kwas asa sio kama ilivyokuwa katika kipindi cha Tanzimat. Wakati ambapo hatuwezi  kuwa watazamaji katika mabadiliko  ya kimaisha  ambayo yanaelekea katika mitazamo tofauti ya nyanja tofauti.

Utaratibu huo ni mchakato ambao unaathiri  nguvu  na uzzlishaji wa watu , makundi, mashirika  katika taifa. Tunapotazama

Kwa kuzingatia mtazzmo huo hatuwezi kusema kuwa  mbinu  hizo zilikuwa na mabadiliko katika maendeleo na utawazi  na ulimwengu wa kisasa wa Magharibi  wakati ambapo  Umoja wa Ulaya  na utawazi wa sasa.  Njia mbadala  zimeanzishwa kwa ungalifu .  Kuna matokea ambayo  hulazimisha kubadilisha  mbinu. Katika mukhtadha huu tunatakiwa  kuchukuwa mbinu  amabzo ni za kianalitiki ni kuwa mbali na  mifumo  ya unyenyekevu na kutupilia mbali  utengano katika namna yeyote  katika kudhibiti  hali ambayo mtu huwa akikabiliana nayo.

Kwa upande mwingine,  hatutakiwi kutupilia mbali  malengo  ambayo tumejiwekea katika maisha. Uislamu sio mgumu bali ni dini ambayo inawapo uhuru waumini wake, Uislamu sio dini  wa mambo yasiokuwa ya kawaida bali  ni imani ilio na  uhalisia na kuwa sambamba na tamaduni za kibinadamu.

Kwa kumalizia  tunaweza kufahamisha kuwa ni wajibu kwetu  kuwa na uamifu na kujiamini  kulingana na matakwa yetu na nguvu, bidii na juhudi tulizonazo. Kinyume chake  tusikubali kuwa wafungwa  wa kisaikolojia kwa kunyenyekea  katika maisha ya kila siku kama changamoto. Kila siku tunakabiliana na changamoto tofauti.

Kwa kweli   inafahamika kuwa historia yetu  imeanzia Khorasan, Anatolia  hadi Magharibi.  Tumenufaisha bila ya kizuizi chochote kile na utamaduni kwa ushirikiano na kwa manufaa ya jamii.  Utofauti ambao tulikumbana nao imekuwa kama chanzo cha utajiri  na sio sababu ya khofu.  Suluhisha haikuwa   na ugumu kama  ilivyokuwa ikionekana. Kama inavyozungumziwa katika  falsafa za  kisufi Jalal ad Din Rumi   tunatakiwa kuweka sawa  upande mmoja wa mguu na na kufungua mwingine  ikiwa na maana kuwa  kuwa na tamaduni zetu  na mguu mwingine kukubali tofauti zilizopo katika tamaduni nyingine   na utofauti wake kwa ajili ya kuboresha maisha yetu

Tunaweza kujşuliza  kwamba  uamuzi wetu  ndia  utakaotatua changamoto na matatizo  vinavyojikabili?

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazıt  kitengo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatuletea uchambuzi

-Itaendelea

 

 

 Habari Zinazohusiana