Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo

Leo katika ulimwengu wa michezo.Tunamtizama Rafael Nadal alivyokuwa bingwa kwa mara nyingi.Hii imekuwa ni mara ya kumi kwa Ndal kuchukua ubingwa huo.Katika mechi ya fainali Nadal alikuwa akichuana na Wawrinka na matokeo katika seti yalikuwa  6-2/6-3 na 6-1 na mwishoni kabisa kushinda mechi kwa kupata pointi 3-0.Nadal alianza kupata ubingwa katika mashindano ya Garosta wakati akiwa na umri wa miaka 18 na mwaka 2017 ameupata ubingwa huo kwa mara ya kumi.

Mashindano ya Garosta yameleta wachezaji tofauti tofauti uwanjani kama Murray akwa mstari wa mbele  kabisa,Djokovic  akiwa katika nafasi ya pili.Djokovic hakuweza kufika fainali katika mashindano  hayo.Djokovic alishindana na Thieme,Murray katika nusu fainali na Wawrinka pia.Katika mechi tatu za mwisho,Djokovic alicheza kati ya Nadal na Wawrinka.

Baada ya Djokovic kutolewa katika mashindano kuna uwezekano wa yeye kuacha mchezo wa tenisi kwa muda kwani anadai kuna mambo mengine pia maishani mwake.Kila mtu anasubiria uamuzi wa Djokovi kwani Wimbledon haipo mbali.

.

Na sasa tutizame wanawake wamefanya vipi katika mashindano ya Roland Garrosta.Jelena Ostapenko mwenye umri wa miaka 20 amejipatia ubingwa katika mashindano hayo.Yupo katika namaba 47 duniani na ameshinda kwa mara tatu yakiwemo mashindano ya Grand Slam.Katika kuwania kuingia fainali Jelena amewashinda Stosur akiwanamba 23,Wozniacki akiwa namba 11 na Barsinszky wa namba 30.Wakati mchezo ukianza wachezaji kama Makorova,Pliskova,Halep ,Muguruza, Svitolina na Cibilkova' walikuwa katika mashindano hayo lakini kufikia mwisho wa mashindano ni Halep peke yake ndie alibaki.

Tukirudi katika mchezo wa riadha mchezaji kutoka Canada Andre De Grasse ameonyesha umahiri na anadai kuwa umahiri huo unatokana na uchapa kazi wake mzuri.Mchezaji Rio mwenye umri wa miaka 22 alikuwa wa pili katika mashindano ya mwaka 2016 yaliyokuwa na umbali wa mita 200 na kuwa nyuma ya Bolt.Wakati wa mashinndano ya mita 100 alishindana na Bolt na Galtin na kuwa wa tatu.

Rio amefahamisha kuwa japokuwa Bolt alimpa wakati mgumu katika mashindano ya mwaka 2016 anahisi ana bahati kukutana na Bolt katika mashindano ya Grasse.

Turudi upande wa uendeshaji wa magar.Katika mashindano ya Rally Ott Tanak amejipatia ushindi.Katika mashindano yaliyoandaliwa Italia Otto Tanik amejipatia ubingwa kwa kushinda mashindano hayo kwa umbali wa kilomita 312 ndani ya masaa matatu , dakika ishirini na tano na sekunde kumi na tano.Katika nafasi ya pili kuna Jari Matti Latvala,huku Thierry Neuville akiwa katika nafasi ya tatu.Mashindano mengine ya Rally yanatarajia kufanyika Poland kati ya tarehe 29 mwezi Juni na terehe 2 mwezi Julai.Madereva wengine katika mashindano ya Italy ni .1.sebasti Ogier, 2.Thierry Neuville, 3.Ott Tanaka, 4.Jar-Matti Latvala, 5. Daniel Sordo.

Tukirudi upande wa uendeshaji wa pikipiki katika mashindano ya GP  mchezaji kutoka Italia Andrea Dovizioso amekuwa wa kwanza.Mashindano yalikuwa na umbali wa kilomita 4.7 na raundi 25.Mchezaji Dovizioso amemaliza mashindano hayo kwa daraja 44.41,518.Marc Marguez akiwa katika nafasi ya pili ,Dani Pedroso nafasi ya tatu.Wachezaji walikuwa kama ifuatavyo;

1.maverick Vinales, 

2.AndreDavizioso,

 3.Marc Marc Marguez,

 4.Dani Pedroso, 

5.Valentino Rossi.

Katika mashindano ya saba ya Formula 1 Lewis Hamilton kutoka Uingereza ndie kajipatia ubingwa.Katika mashindano ya Canada yenye mita 4361  ndani ya raundi 70  na daraja 1.33.05.154 mchezaji huyo aliweza kujipatia ushindi.

 

      Baada ya Hamilton kuna Valtteri Boltas akiwa nafasi ya pili,Daniel Ricciardo nafasi ya tatu.Wachezaji wengine walikuwa ni;

1.Sebasti Vettel, Hamilton 2.Lewis, 3.Valtter ya Bottas, 4.Ki mimi, O, Raikkonen, 5.Daniel Ricciardone.

Mashindano mengine yanataraji kufanyika Azerbaijan tarehe 25 Juni.

Katika mashindano ya kömbe la dunia Uturuki imeishinda Kosova kwa kuwapiga 4-1.Katika mechi zilizochezwa katika kundi la kwanza ni kama Ukraine 2-1 Finland, Iceland Croatia 1-0.

Aliyefunga magoli katika timu ya taifa ya Uturuki ni Volkan,Şen,Cengiz Ünder,Burak Yılmaz na Ozan Tufan.

Matokeo yalikuwa kama hivi;

1.Croatia pointi 13

2.Iveland pointi 13

3.Uturuki pointi 11

4.Ukraine pointi 11

Na katika nafasi ya tan ona sita kuna Finland na Kosovo.

Ulimwengu wa michezo daima hauna mwisho.

 


Tagi: dunia , Michezo

Habari Zinazohusiana