Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo

Katika ulimwengu wa michezo leo tutatizama mchezo wa tenisi na soka.Real Madrid kwa mara nyingine imechukua ubingwa na kulikwaa kömbe.Hii ni mara ya 12 sasa toka timu hiyo ijipatie kömbe hilo.Mashabiki wa mpira wa miguu waliingiwa na wasiwasi wakati Real Madrid ikicheza na Jeventus kwani mechi ilikuwa ni ya kusisimua.

Real Madrid iliweza kuifunga Jeventus 4-1 huku kiungo wa soka Christiano Ronaldo akiwa kajifungia magoli yake mawili.Ronaldo amefikisha magoli 600 sasa katika historia yake ya kucheza mpira wa miguu baada ya kuwatandika Jeventus magoli mawili.

Jeventus imepatwa na huzuni kubwa baada ya kushindwamechi hiyo na wachezaji wameonekana kukata tamaa kabisa.

Tukirudi Italia mchezo wa tenisi nao unapamba moto.Tutizame matokeo ya mashindano ya Roland Garros .Mabingwa wa zamani wa Grand Slam Samantha Stostur,Garbina Muguruza,Venus Williams wameshindana katika mashindano hay ona kuwafunga wapinzani wake.

Inaonekana majina ya mabingwa wa mashindano hayo mwaka 2017 yatabadilika.Kwa upande wa wanaume kuna kama Andy Murray,Stan WAwrinka,Novak Djokovic,Rafael Ndal.Wachezaji kama Roger Federer,Serena Williams,Sharapova hawatokuwa katika amshindano yajayo nah ii imeleta huzuni kubwa kwa mashabiki na watazamaji wa mchezo wa tenisi.

Turudi kwenye uendeshaji baiskeli sasa.Mashindano muhimu kabisa ya baiskeli yanatarajia kuanza tarejhe1 mwezi Julai mjini Düsseldorf nchini Ujerumani.Watakaoweza kuingia 20 bora basi watakutanishwa katika mashindano mengine yanayotarajia kufanyika mjini Paris tarehe 23 mwezi Julai.

Je Eddy Merckx ni nani.Huyu ni mwendesha baiskeli mahiri kabisa aliyeweza kujipatia ushindi mara tano katika mashindano yaliyofanyika Paris.Na sasa mwaka 2019 mashindano ya kuendesha baiskeli yatafanyika katika nchi aliyotokea Eddy yani Belgiums  mjini Brussels.

Tutizame mchezo wa NBA.Golden State Warriors wamejipatia ushindi baada ya kuishinda Clevelandkwa pointi 1-0.Matokeo ya mechi hiyo yalikuwa ni pointi 113-91.

Ligi ya Spor Toto ya Uturuki imejipatia ushindi na kuwa bingwa.Timu ya Siyah Beyazli imejipatia ushindi baada ya kuishinda timu ya Gaziantep.Timu hiyo ikaishinda tena timu ya Istanbul Osmanli na kuchukua kömbe.Hii ni mara ya 15 ya timu ya Siyah beyazli kujichukulia kömbe.Timu kama Çaykur Rizespor,Gaziantepspor na Adana Spor wameingia katika ligi ya TFF1.

Timu kama Sivasspor,Malatya Spor na Göztepe wameingia katika Super Ligi.

Ulimwengu wa michezo daima hauna mwisho.Habari Zinazohusiana