Watu kadhaa wakamatwa kufatia shambulizi la kibaguzi lililomlenga Meya wa Thessaloniki Ugiriki

Meya wa Thessaloniki nchini Ugiriki ashambuliwa na  wafuasi wa mrengo wa  kulia kwa kuwa  na msimamo chanya na waturuki na  muanzilisha wa Jamhuri ya Uturuki Mustafa Kemal Ataturk. 

Watu kadhaa wamekamatwa kufuatia tukio hilo.

Yiannis Butaris ana umri wa miaka 75.