Jeshi la Uturuki lafungua kituo cha huduma ya kwanza Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki lafungua kituo cha kutoa huduma ya kwanza Afrin kwa watoto na wanawake Afrin nchini Syria baada  ya kuwaondoa magaidi katika eneo hilo katika operesheni ya jeshi iliochukuwa muda usiozidi miezi miwili.


Tagi: Syria , Uturuki , Afrin