Waziri wa ulizi wa Urusi  katika ziara yake Uturuki

Sergey Shoygu , waziri wa ulinzi wa Urusi awasili nchini Uturuki katika ziara yake rasmi

Waziri wa ulizi wa Urusi  katika ziara yake Uturuki

Waziri wa ulinzi wa Urusi Sergey Shoygu  awasili nchini Uturuki kwa ajili ya ziara yake arasmi ambapo anatarajiwa kukutana na viongozi tofauti wa nagazi za juu katika jeshi la Uturuki na wizara ya ulinzi.

Waziri Sergey Shoygu  amepokelwa na waziri wa ulinzi wa Uturuki  Hulusi Akar alipowasili mjini Ankara.

Sergey Shoygu amearifiwa na waziri mwenza wa Uturuki Hulusi Akar kwa ajili ya mazungumzo  kuhusu sekta ya ulinzi kati ya Uturuki na Urusi.

Katika mazungumzo  yao kati ya Hulusi Akar na Sergey Shoygu  suala zima kuhusu hali inayoendela nchini Syria hususan katika  jimbo la Idlib.

Mazungumzo  kati ya Hulusı Akar na Sergey Shoygu yanafanyika kabla ya mkutano unaotarajiwa kufanyika Sochi  kuhusu Syria.Habari Zinazohusiana