Tutawaondoa magaidi na vitisho vyoa mipakani mwa Uturuki

Muhusika wa mawasiliano ikulu mjini Ankara asema kuwa jeshi la Uturuki litawaondoa magaidi katika mipaka ya Uturuki

Tutawaondoa magaidi na vitisho vyoa mipakani mwa Uturuki

 

Muhusika wa  mawasiliano ikulu mjini Ankara  daktari  Fahrettin Altun amesema kuwa jeshi la Uturuki litawaangamiza magaii na kuondoa mahicho yao katika maeneo yote y a  mipaka ya Uturuki.

Fahrettin Altum amepeperusha  katika ukurasa wake wa Twitter video inayoonesha  mashambulizi ya magaidi wa kundi la PKK/YPG na wangambo wa kundi la Daesh miaka iliopita.

Lengo la kupeperushwa video hiyo inayoonesha mashambulizi ya magaidi ikiwemo magaidi wa kundi  la wahaini wa FETÖ  ni kumonesha  seneta  kutoka Marekani jukulu la Uturuki katika mapambano yake dhidi ya ugaidi. Seneta Lindsey Graham  anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki.

Video hiyo imeonesha ni kiasi gani Uturuki imeshambuliwa na magaidi wa makundi tofauti ikiwemo kundi la Daesh PKK/PYD Na FETÖ  lkatika ardhi yake.

Altun amekumbusha kuwa  mashambulizi  ya kigaidi tangu mwaka  2015 yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 2 000 na mashambulizi hayo yamendaliwa  Kaskazini mwa Syria .


Tagi: PKK , Syria , ugaidi , Uturuki

Habari Zinazohusiana