Mmoja apoteza maisha katika ajali ya mashua nchini Uturuki

Mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha baada ya mashua kuzama katika bahari nyeusi nchini Uturuki.

Kwa mujibu wa habari,watu watatu wameokolewa kaskazini mwa eneo la Sinop.

Mashua imeripotiwa kuwa ya wavuvi.

Shughuli za uokoaji zinaendelea.

 Habari Zinazohusiana