Uturuki haiitaji kupewa funzo kuhusu namna ya kuishi katika jamii

Uturuki haina haja ya kupewa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa   ushirikiano  katika jamii

Uturuki haiitaji kupewa funzo kuhusu namna ya kuishi katika jamii

Uturuki haina haja ya kupewa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa   ushirikiano  katika jamii.

Msemaji wa chama tawala  Uturuki cha AK Ömer Çelik   amesema kuwa Uturuki ndio taifa pekee  rafiki wa jamii ya wakurdi na hukana taifa lolote ambalo linaweza kutoa funzo kwa Uturuki  kuhusu namna ya kuishi katika jamii  na jamii ya wakurdi.

Çelik amesema kuwa usalama wa Uturuki   ni jambo lisilojadiliwa kwa kuwa   ni jambo lenye umuhimu usiokuwa na kifani.

Baada ya mkutano wa chama tawala Uturuki , msemaji wa chama huyo aliongea na waandishi wa habari  kuwa Marekani inatakiwa kuina Uturuki  kama mshirika wake katika mstari wa kwanza, ila kwa bahati mbaya  Marekani  imelipa kipau mbele kundi la kşgaidi kama mshirika na hilo litapelekea ushirikiano kuyumba kati ya Uturuki na Marekani.

Çelik amesema kuwa kwa wale wote ambao wanadai kutetea  haki ya jamii ya wakurdi , waingalia historia yao na  unyama  waliowatendea wakurdi.

Uturuki  katika ukanda ndio taifa pekee ambalo jamii ya wakurdi, waarabu na waturkmen wanaishi wa kwa usalama na ushirikiano.Habari Zinazohusiana