Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

 

 Haber Turk : « ndege ya kivita ya Uturuki katika majaribio ya kuhimili upepo …

Ndege ya kivita ya Uturuki aina ya TF-X  moja miongoni mwa mradi kabambe ya Uturuki katika kizazi cha tano cha ndege za kivita  barani Ulaya imefanyiwa majaribio  ya uwezo wake wa  kuhimili upepo wenye dhoruba.  Uturuki ikiwa na kiwi cha kutaka kumaliza haraka iwezekanavyo mradi wake huo wa ndege za kivita umefanya majaribio ya kuhmli upepo na dhoruba. Ifikapo mwaka 2033 oda ya ndege 400 inatarajiwa kutolewa.

Yeni Şafak : « Uturuki yaingia katika historia ya ndege …

Ripoti ya mwaka 2008-2018 ya ACI, baraza la Ulaya şa viwanja vya ndege ambapo viwanja  zaidi ya 2 000 katika mataifa 176 ambayo ni wanachama metolewa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo  Uturuki imepifanya mabadiliko makubwa na kufikia kiwango cha asilimia 191 ya safari zake katika mataifa tofauti  moja kwa moja katika kipindi cha miaka 10.  Uturuki imekuwa  nchi ambayo imeongeza  safari zake na kufikia asilimia 130 na kuwa na vituo takribani 157 wakati wa mapumziko ya kiufundi.

 

Star : « Utoaji wa  mashua kubwa ya kivita ya Uturuki , TCG, Anadolu yarudi nyuma kwa mwaka mmoja …

Uzalishaji wa TGC Anadolu , ujenzi wa mashua  ambayo haijawahi kutengenzwa katika historia ya Uturuki na mashau, ujenzi wake unaendelea na unaonesha matumaini.  Mradi huo ni moja kati ya mradi kabambe ya jeshi la Uturuki  ambao unafanyika kwa wakati mmoja.  Uturuki kutokana na mradi huo inaweza kujinasibu kuwa miongoni mwa  mataifa  ulimwenguni yanayotaka kuwa yenye nguvu ulimwenguni.

 

Sabah : « Watalii kutoka Ujerumani ndoio waliotembelea jiji la Izmri  mwaka 2018…

 Idadi ya watalii waliotembelea Uturuki  Oktoba  imeongezeka kwa asimlia 25,5 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka  uliopita 2017 ambapo watalii  walikuwa  milioni  3,8.  Idadi ya watalii kutoka Ujerumani waliotebelea jiji la Izmir Uturuki  ni 966 000. Watalii wengine kutoka  Urusi , Ufaransa , Uingereza .  Orodha ya  mataifa ambayo  raia wake wametalii Uturuki : Urusi inashika nafasi ya kwanza  na watu   604 073,  Ujerumani inachukuwa nafasi ya pili  na watalii 589 626 , Uingereza nafasi ya 3 na watalii  264 017 .Habari Zinazohusiana