Wanaharakati wahoji ushirikiano kati ya Uturuki na Sudan Pembe la Afrika

Ushirikiano kati  ya Sudan na Uturuki  katika ukanda wa pembe la Afrika wazidi kuimarika

Wanaharakati wahoji ushirikiano kati ya Uturuki na Sudan Pembe la Afrika

Ushirikiano uliopo  kati ya Uturuki na Sudan katika miaka miwili  iliopita u napelekea wanahakati na wadadi wa masuala ya kisiasa na kimkakati  kuhoji kuhusu ushirikiano huo.
 

Katika kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ushirikiano ambao unaonekana kuwa ushirikiano wa kimkakat kati ya mataifa hayo mawili.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan na viongoni wa mataifa hayo mawili wamekuwa wakifanya  ziara kila mara , ziara ambazo bila shaka malengo yake ni kuimarisha ushirikia katika nynja tofauti  kati  ya mataifa hayo mawili.

Katika ziara ya rais wa Uturuki  nchini Sudan mikataba ya ushirikiano katika sekta tofauti ilisainiwa.

Wiki iliopşta makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay alşfanya  ziara rasmi nchini Sudan  ambapo pia alisaini mikataba ya ushirikiano katika sekta ya  kilimo , biashara na nishati.
Ziara nyingine ilikuwa ziara ya waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar nchini Sudan.
Zaidi ya mikataba 10 imesainiwa kati ya Uturuki na Sudan katika muda mfupi.Habari Zinazohusiana